Kiukweli mkuu, ukiachana na wananiita sugu na ile watu nazo pesa, Sugu moto chini, ngoma nyingine za sugu sikuwa nazielewa aisee, labda kwasababu nilianza kuifatilia bongo flavor mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambapo tayari tasnia ilikuwa imeshaanza kuwa na vijana wengi na wenye ladha tofauti katika...