Kwenye mduara utamkuta amevaa nguo ya kubana na aanze kukatika kiasi kwamba bwana camera na wale wauzuliaji wote wanamgeukia.
Kila muda ataaamka atembee tembee mara aende kwa DJ mara vinywaji
Kuna nyumba unakuta watoto watatu wote wa kike wamezaliwa nyumbani, unaweza kujiuliza maswali kwanini haya yatokee ila kiukweli mama mtu amekuwa akipokea pesa za vocha kama zote sasa anashindwa aanzie wapi kuwakemea watoto na tabia zao za umalaya maana kuchakatwa kwa jagina zao zimemsaidia hadi...
Anasa ni zimwi linalokunong'oneza kwa sauti ya upole kuwa "gusa tu kwa leo alafu basi"
Masikini kumbe unaisha. Mishe ya kukupa mtonyo kumbe ni kama maua.
Sio wanawake wenye MAKEBO makubwa, sio clubbing na pubbing, sio kutafuna jagina zile za telegram, nakumbuka kupita na zungu kama hajawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.