Aluta continua, safari ya mafanikio haina mtelemko hata kidogo, walio mstari wa mbele wanaonekana wanaumizwa lakini mateso yao siyo bure na Mungu hataacha mateso haya kudumu kwa muda mrefu, TULIKOTOKA ni mbali tunakokwenda karibu, labada mtuuue wote only two years have left kwa utawala huu...