Recent content by Folk Part II

  1. F

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Mungo huyu watu wanaomzungumzia makanisani,,sijui huko kwenye mavyombo ya Habari kiufupi mungu anayezungumziwa na binadamu hayupo hizi Habari za mungu ni za kufikirika hata wale waliokuwa wanasema na mungu walikuwa ni watu ambao walipitia matukio ya nature inavyotaka ndo wakaamua kubambikiza...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

    Nyie viumbe vya ajabu sana,,,unataka kuniaminisha kwamba kilele yenu sio tamu,,,ni PM namba yako tuongee mambo ya kikubwa kama kupeana elimu ya mnyanduano please nakuomba na sio kwajili ya mahusiano ni elimu tu
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Nimekuelewa sana mkuu hapo kwenye utayar ndo umemaliza kabisa
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Bora umekuja kumaliza utata wakati watu wa certificate na diploma tunaishi nao reasoning zao ziko chin sana ingawa wapo pia wa advance ambao wapo kama hivi ila ni wachache sana wao kinachowachanganya ni kuona namba yao ya kuajiliwa kwenye diploma ni kubwa kulko wa degree wanadhan wa diploma ni...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Sio wana prefer vyuo vipo kwaajiri ya kutafuta wateja dogo ndo mana kunavyuo wanatangaza hata ukiwa na D mbil unaenda kusoma na hawa wa D mbili ndo wapo kwenye Field alafu mnataka nchi iendelee kiteknolojia na watu wa D mbili
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Kijana naona kama bado huelew mambo yanaendeje kwenye nchi yale yanayokatazwa ndo chanzo cha pesa tunawakataza ili tule sisi tu huko ulikosemea huwez mkuta mtoto wa maskin huko jiulize?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Hapa ishu sio sabab kwamba diploma wapo vizuri nooo... ishu hapa ni mishahara yao midogo kwaio boss lazma aajiri wa diploma ili abalance fedha hii sio kwa makampun binafsi tu hata serikali ndo inachokifanya chukulia tu mwalimu wa certificate alikuwa analipwa 300000 na upuuz alaf mwalimu wa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Wewe sio msomi ni kubwa jinga na utatumika vibaya sana iv kwa akili yako hiyo ndogo mtoto wako utamrithisha huo uchawa,,,kwanza wewe hujion kama ni mdhaifu sana umechagua kuwa mtoto wa mama kweli? Haya sawa umesema umesoma yan kusoma kwako kotee ukaona uchawa ndo kazi nzuri hapo ni unatumika tu...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Acha kumdanganya bwana hii nchi huwezi kupanga cha kusomea au kufanya
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Nina hasira na elimu ya mavyeti ni utapeli na usumbufu wa watu
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Pigia msitari watu wengi waliokazin kwa hili taifa wana akili ndogo sana
Back
Top Bottom