Recent content by flora kiwori

  1. F

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa mbezi msakuzi

    Uliza unachotaka hapa na ntakujibu hapa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa mbezi msakuzi

    Ndio ukikamilisha malipo unapata hati
  3. F

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa mbezi msakuzi

    Ndio ni mbezi ya kimara mkuu,kiwanja tunaanza kupima 20*20 na square meter 1 ni 30000 tu na malipo ni kwa miezi 10 kwa taarifa zaidi nicheki 0625990885.asante
  4. F

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa mbezi msakuzi

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa mbezi msakuzi 30000 kwa sqm moja malipo kwa miezi 10.kwa maelezo zaidi njoo pm.
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

    Unachokitafuta utakipata na ukikipata pia leta mrejesho
  6. F

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati muafaka sasa kwa Babu Seya na Papii Kocha kuomba radhi?

    Afu najiuliza mbn kina babu seya tu ndo tunawasisitiza waombe msamaha as if wametenda makosa ambayo awastaili tena,ili tuwe fair kwann tusiwasisitize wote waliopewa msamaha na raisi wakawaombe familia walizozikosea msamaha coz kuna wengine waliua kabs.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati muafaka sasa kwa Babu Seya na Papii Kocha kuomba radhi?

    Ko we unatakaje? Au unataka waeke matangazo ya kuomba msamaha wat if wameenda kuwafata waanga utajua vipi au unataka uende nao? Au basi watafute uwaelekeze unazotaka wafanye ili usuuze roho yako,embu usilazimishe kila mtu aamini unachoamini
  8. F

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati muafaka sasa kwa Babu Seya na Papii Kocha kuomba radhi?

    Jamani tuwaache wapumzike na km ni swala la kuomba msamaha kwa familia za wahanga tutajuaje km wamefanya ivo aina aja ya kuanzisha post za kuwashinikiza km amani ya kristo ikiamua ndani yao watafanya tu ni swala la muda.
Back
Top Bottom