Hii nilipandisha leo saa 6 mchana kwa ajili ya New York kwasababu inafanya vizuri (London ni kwa ajili ya setup tuu dont trade itakuumiza kichwa) inaenda mpaka 86000 ila mpaka saa 4 usiku ila sipendi kujitesa na mawazo wakati pips 800 zinatosha
Sababu ya kupanda ni Metaplanet walitangaza...
Naomba niwe naweka entry na exit nimejaribu kwa wiki 2 na zinafanya vizuri sana.
Nitaweka muda wa entry na exit ni about 2 - 4 hours utakavyoona umetokesha
Naomba mjaribu wa Demo japo mimi naweka Real.
Profit ni double japo huwa napenda kuchukua 50%.
Download Exness then anza kutrade.
Hakikisha unapitia short video youtube na tiktok andika forex.
Base kwenye kujifunza kuliko kupata faida. Ukishakuwa na ujuzi na maarifa ya FOREX hela itakufuata yenyewe.
Baada mwezi 1 nicheki.
Ila uwe na roho yakuhimili mazito. Maana kutrade ni sawa na...
Hali sio nzuri kwa upande wangu naweza kupandisha trade double lakini ikifika kuanzia saa 5 narudi nilipokuwa.
Muds naomba kuweka link ili kunusuru traders
https://youtu.be/5J01qKDAziM?si=fgGr9YmXU2BlCFxN
Kiukweli hali ya sasa inalazimisha kuwa scalper 5min unaingia na kutoka kitu ambacho sio...
Mawazo ya watu humu hayatakusaidia zaidi wataona una roho mbaya.
Siku zote jipe muda na katika muda huo muombe Mungu akuongoze kufanya maamuzi huwezi jua unasaidia wangapi kupitia huyo uliyemuajiri, huwezi jua labda ni jaribu lako na Mungu anampango wakukupa kikubwa ili usaidie wengine...
Unampa mtu hela ndio anaona shida zake ni kubwa kuliko zako.
Mil 6 uliyonayo ni kubwa sana kama hautajilinganisha na mtu.
Wewe nunua kwa hao wenye mtaji wa kati na uza, faida irudishe kwenye mzunguko na ndani ya miaka mitano utaingia kwenye system na wao wakuunganishe na matajiri.
Maisha ni...
Akili kubwa.
Natamani nieleze jinsi wapigaji walivyokuwa wanafanyahujuma huku serikalini na Kumaliza kodi za WaTz kwenye posho na vikao lakini % kubwa ya wapigaji ndio wamejazana humu na kutetea maslahi binafsi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.