Bado sijapata suluhisho la Mwanangu kuongea

Wewe na mama mtoto mna umri gani, umri mkubwa kuanzia 45yrs+ inachangia autism.
Na vipi mtoto alizaliwa na uzito gani, uzito mdogo sana unachangia

Zaidi fuatilia hizo hospitali kuliko kwenda kwa manabii/waganga. Hao ungeenda kama kuna dalili za nguvu za kiroho lakini kama jambo ni la kisayansi hawatalibadilisha kimiujiza.
Ajibu alimpata mtoto akiwa na umri gani
 
kwa Neema na Baraka za Mungu ataongea kwa wakati muafaka ufaao..

kaka yangu mkubwa alikua na kijana wake wa kiume alikua na baadhi ya sifa na tabia kama hizo hizo za kijana wako, alianza kuongea rasmi akiwa na miaka 8. hakuna alichofanya..

sasa hivi ni njemba ya darasa la saba na yuko vizuri balaa anaongea vizuri, anaimba na kulia kama vijanaa wenzake wengine..

kama anaweza kuhesabu hadi 10,
nadhani ni hofu na wasiwasi wetu tu kama wazazi kwasababu maeneo mengi sio jambo la kawaaida..

hongera kwa jitihada zako za dhati zisizo koma katika kumpambania kijana. Mwenyezi Mungu ataonyesha njia 🐒
Eeeeeh kumbe mkuu upande mwingine akili unazo kabisaaaa.......aiseee
 
Habari wadau,nilipost Uzi kuhusu mwanangu wa Miaka 4 ambae nilieleza kuwa haongei,ni kupiga makelele tu,ana sifa zifuatazo.

1. Anasikia ila ukimuita hakuangalii Wala hashituki,lkn ukiweka mziki asioupenda mfano kwenye simu ama TV ana kasirika na kukufuata au kukupa rimoti au simu uongeze sauti au ubadilishe

2. Anapiga makelele anayoelewa yeye tu,tena ya kujirudiarudia

3. Anapenda kuning'iniza vitu mfano chaja za simu waya,nk

4. Hatulii sehem Moja

5. Usiku halali

6. Anabagua chakula,Kuna wkt Hali ni uji tu miezi kadhaa

7. Anapenda kukaa uchi. Na sifa nyingine nyingi

Baada ya kupokea mawazo mbalimbali kutoka kwenu nilifanya yafuatayo

1. Nilimpeleka Kwa Mwamposa akashikwa na Mwamposa, akapewa maji na mafuta, na Kwa manabii wengine kama Nabii Musa, Frank, Kiboko ya wachawi nk

2. Nilimpeleka hospital Bugando mwanza, Wanasema ni usonji, ( autism ), tukapewa dawa na ushauri tunaendelea kutumia

3. Tulimpeleka Kwa mashekhe na waganga kama wengine pia walivyoshauri

4. Tulimpeleka Arusha Kuna Kituo wanatibu changamoto hiyo, tulipewa matibabu mwez mmoja gharama zikawa kubwa sana tukarudi kuendelea kutumia dawa nyumbanI

5. Tulimpeleka shule na kumtafutia mdada wa kumfundisha na kukaa nae hata kwenda nae shule maana hatulii na kukimbiakimbia tu ( hawezi kukaa mwenyewe hata darasani hawezi kutulia)

Sasa mtoto yupo nyumbani ana miaka 5, Bado Hali yake hairidhishi japo anahesabu kidogo kama 1-10 japo maneno hayaeleweki vizuri.

Nimerudi kwenu kutoa mrejesho na kuomba ushauri zaidi. Bado sijachoka,Niko tayari hata kutoa uhai wangu ili mtoto aongee. Asanteni

Pia soma:Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

Habari,
Pole na hongera kwa usimamizi wa mtoto husika.

Hapo namba mbili(2)
1: Je ulimwelewa daktari/mtoa huduma juu ya hali ya mwanao?

2: Je umejitahidi kujifunza uhalisia wa hali ya mwanao na kupata maelezo zaidi?

3: Je kulingana na kiasi cha tatizo ulielezwa kuna unaloweza kumsadia mtoto kuimarika zaidi kwa kuzingatia maelezo ya wataalamu?

4: Ni nini jumuisho lako la jumla baada ya maelezo ya wataalamu (unakubaliana na wataalamu wa afya vs haukubaliani nao) juu ya maelezo husika?

Maelezo ya majibu hapo juu ndo yanaweza kuonyesha uko wapi, unahitaji nini na unaweza kusaidiwaje ili kuendeleza uangalizi wa mtoto na ustawi wa familia kwa ujumla.
 
Tatizo la usonji ni ngumu kumalizika nyumbani anatakiwa kuhudhulia speechtherapy angalau mara mbili kwa wiki.

Kule kuna madaktari waliosomea kabisa na wana vifaa vya kisasa vya kuweza kumsaidia mtoto kuondokana na hali hiyo kwa mda mfupi.
 
Habari wadau,nilipost Uzi kuhusu mwanangu wa Miaka 4 ambae nilieleza kuwa haongei,ni kupiga makelele tu,ana sifa zifuatazo.

1. Anasikia ila ukimuita hakuangalii Wala hashituki,lkn ukiweka mziki asioupenda mfano kwenye simu ama TV ana kasirika na kukufuata au kukupa rimoti au simu uongeze sauti au ubadilishe

2. Anapiga makelele anayoelewa yeye tu,tena ya kujirudiarudia

3. Anapenda kuning'iniza vitu mfano chaja za simu waya,nk

4. Hatulii sehem Moja

5. Usiku halali

6. Anabagua chakula,Kuna wkt Hali ni uji tu miezi kadhaa

7. Anapenda kukaa uchi. Na sifa nyingine nyingi

Baada ya kupokea mawazo mbalimbali kutoka kwenu nilifanya yafuatayo

1. Nilimpeleka Kwa Mwamposa akashikwa na Mwamposa, akapewa maji na mafuta, na Kwa manabii wengine kama Nabii Musa, Frank, Kiboko ya wachawi nk

2. Nilimpeleka hospital Bugando mwanza, Wanasema ni usonji, ( autism ), tukapewa dawa na ushauri tunaendelea kutumia

3. Tulimpeleka Kwa mashekhe na waganga kama wengine pia walivyoshauri

4. Tulimpeleka Arusha Kuna Kituo wanatibu changamoto hiyo, tulipewa matibabu mwez mmoja gharama zikawa kubwa sana tukarudi kuendelea kutumia dawa nyumbanI

5. Tulimpeleka shule na kumtafutia mdada wa kumfundisha na kukaa nae hata kwenda nae shule maana hatulii na kukimbiakimbia tu ( hawezi kukaa mwenyewe hata darasani hawezi kutulia)

Sasa mtoto yupo nyumbani ana miaka 5, Bado Hali yake hairidhishi japo anahesabu kidogo kama 1-10 japo maneno hayaeleweki vizuri.

Nimerudi kwenu kutoa mrejesho na kuomba ushauri zaidi. Bado sijachoka,Niko tayari hata kutoa uhai wangu ili mtoto aongee. Asanteni

Pia soma:Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu
Huo ni usonji (autism) acha kuhangaika utaibiwa bure mzee jifunze kuishi naye
 
Ni wazi kuwa hii Hali inakuumiza sana kutoa Uhai sio jambo zuri, usikate tamaa kwa hili. Kila mtoto anakuja na upekee wake, jaribu kuangalia maeneo mengine ya uwezo wa mtoto huwenda anao uwezo mwingine mubwa zaidi ya yeye kuongea ( positive side, he/she May change the world) jaribu ku focus aweze kuandika ili awe na njia yaziada yakuwasiliana.
Pili kuwa na Strong desire na faith kuwa iposiku mwanao ataongea na ataongea tu, trust the process. Usiamini Wala kuyumba juu yakuwa kuwa mwanao ni Bora na hajazaliwa kwa bahati mbaya.
Tatu upo uwezekano wakupata matibabu Kuna aina Fulani ya matibabuila Mimi sijapata ujuzi huo bado Iko hivi ( Kuna mtu anaweza kutibu kwakutumia mikono na anamtibu mtu bila kumgusa niliwahi Kuona mtu akinyooshwa mguu bàada yakupata ajali bila kushikwa na mfupa ukawa unajinyoosha bila kushikwa na mtu akapona bàada ya wiki mbili tu. Ilikuwa ajabu sana) Nikipata mawasiliano au taarifa yeyote nitakupatia.
Kuna clip nitaitafuta nikutumie ni documentary ya Dr Bruce wa Marekani, Nikipata nitaku info huone jinsi mtoto alivyotibiwa kwa namna hii yeye alikuwa hata kutembea ni shida anatembelea vidole na hakuwa anaweza kushika kikombe alikua kama amekakama viungo ila alipona kwa kutumia njia hii nilioielezea awali.
Nakutia moyo usichoke tuko pamoja nawe na tunampenda pia mtoto wako.
 
Juzi kuna dada mmoja wa mtaani kwetu mtoto wake ana miaka minne na nusu alikuwa haongei kabisa,akaenda sehemu akaombewa siku hiyo hiyo akaanza kuongea. Ni wa mtaani kwetu kabisa anaitwa viviani. Nikimuona mama yake nitamuomba namba nikuunganishe nae. Anaishi Dodoma mtaa wa kwa molel veyula mwisho
 
Habari wadau,nilipost Uzi kuhusu mwanangu wa Miaka 4 ambae nilieleza kuwa haongei,ni kupiga makelele tu,ana sifa zifuatazo.

1. Anasikia ila ukimuita hakuangalii Wala hashituki,lkn ukiweka mziki asioupenda mfano kwenye simu ama TV ana kasirika na kukufuata au kukupa rimoti au simu uongeze sauti au ubadilishe

2. Anapiga makelele anayoelewa yeye tu,tena ya kujirudiarudia

3. Anapenda kuning'iniza vitu mfano chaja za simu waya,nk

4. Hatulii sehem Moja

5. Usiku halali

6. Anabagua chakula,Kuna wkt Hali ni uji tu miezi kadhaa

7. Anapenda kukaa uchi. Na sifa nyingine nyingi

Baada ya kupokea mawazo mbalimbali kutoka kwenu nilifanya yafuatayo

1. Nilimpeleka Kwa Mwamposa akashikwa na Mwamposa, akapewa maji na mafuta, na Kwa manabii wengine kama Nabii Musa, Frank, Kiboko ya wachawi nk

2. Nilimpeleka hospital Bugando mwanza, Wanasema ni usonji, ( autism ), tukapewa dawa na ushauri tunaendelea kutumia

3. Tulimpeleka Kwa mashekhe na waganga kama wengine pia walivyoshauri

4. Tulimpeleka Arusha Kuna Kituo wanatibu changamoto hiyo, tulipewa matibabu mwez mmoja gharama zikawa kubwa sana tukarudi kuendelea kutumia dawa nyumbanI

5. Tulimpeleka shule na kumtafutia mdada wa kumfundisha na kukaa nae hata kwenda nae shule maana hatulii na kukimbiakimbia tu ( hawezi kukaa mwenyewe hata darasani hawezi kutulia)

Sasa mtoto yupo nyumbani ana miaka 5, Bado Hali yake hairidhishi japo anahesabu kidogo kama 1-10 japo maneno hayaeleweki vizuri.

Nimerudi kwenu kutoa mrejesho na kuomba ushauri zaidi. Bado sijachoka,Niko tayari hata kutoa uhai wangu ili mtoto aongee. Asanteni

Pia soma:Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu
Mkuu pole sana kw amtoto wako haongei hebu nitafute kwa wakati wako ili niwezekumtibia mtoto wako apate kusema .
 
Back
Top Bottom