Iv bado kuna watu wana akili kama huyu ,chuk IP haliya kua yaliyosemwa ni kweli. Kutaja watu bila ushahid sio chuki ,hujaona ,kutaja watu bila uchunguz unakuta hana case ya kujibu af unaanza kuwatafutia vikes vya ajabu ajabu sio chuki ,watu walitajwa wakatumbuliwa bila kujitetea sio chuki ,watu...