Huu uzi napita kila siku napiga moyo konde sitasema kitu ila leo yamenifika hapa acha niandike bhana.
Kipindi Niko chuo nasomea Ualim wa Msingi Grade A Chuo flani Private Arusha.
Licha ya kua na miaka 19+ bado nlikua sijawahi gusa papuchi achilia mbali kuiona.
Sasa kuna madam mrembo alikua...
Hahahaha am glad sikuona peke yangu na pale ambapo aliweka ice cream shavuni ndo bf wake amkiss ili awakomeshe wale mabinti. Ila Apo pa face your front ndo balaa. Ila Lovin NYIMBO Kali Sana na video kadance fresh na imedirectiwa vizuri mno
I surrender to your ilekedi alaf ilekedi yenyewe ni shanga za kiunoni hatari sana ilo lingoma aiseeh walitengeneza chemistry nzuri mno na mr eazi. pia wana ngoma hii nyingine ya doyin ni nzuri mno.
Hii ni miongoni mwa chorus bora zaidi kuwahi kufanyika aiseeh. yaani ile sauti pale ni nzuri mno. Huo wimbo wametengeneza chemistry nzuri mno kama ilivyo jina la wimbo
Ayo naupenda kupitiliza aiseeh. nawatumia pia watu mbalimballi na kuwaencourage kusikiliza sema ndo vile kil amtu ana ladha yake kwenye mziki ila nikimkuta mtu anaujua na kuusikiliza huu wimbo napata faraja sana. yaani Beat yake,sauti ya simi plus video sasa namna alivyoifanya na wale wanajamii...
YY ni miongoni mwa the greats hapa east africa sema ni underated sana yaani watu hawamchukulii kwa uzito na ukubwa wa kipaji chake kabisa. Nikitaja tano bora pale churchill show YY simuachi aiseeh
Hiyo aliyoimba na mumewe adekunle gold inaitwa promise me ni motrooooo. sasa apo kwenye doyin ndo kisanga zaidi alaf nyimbo yenyewe haina ata muda saaana ila inakimbiza mno huko youtube.huyo bwanaake mwenyewe ana lijimbo lake linaitwa Before you wake up duh aiseeeh siichoki maskioni mwangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.