Recent content by FLAVOR

  1. FLAVOR

    Gari yangu Gx110 inakita kishindo wakati wa kutoka parking P kwenda kwenye D na R

    Habari Ndugu, Nenda kwenye garage nzuri, waambie wakague mounting za gear box na engine. Zinapokatika, uki engage gear, inacheza hence hicho kishindo, nadhani pia kuna ka kishindo unakasikia ikihama 1 kwenda 2
  2. FLAVOR

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    3.6 boss Wangu. Njoo
  3. FLAVOR

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Oooh nimesahau, kuna Mark ii GX110 kwenye hiyo listi na nilitumia muda wa mwaka mmoja tu, nikavuliwa na rafiki na ndugu yangu mchungaji wangu yuko mbeya, hayo siyo maneno matupu references zipo
  4. FLAVOR

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Asante Kwa maoni yako, Altezza, GX110 na Verossa zipo za bei chini zaidi ya hiyo uliyotaja, mimi si mgeni wa kumiliki magari, nina umri wa miaka 43 sasa hivi, nilianza kumiliki magari nikiwa na miaka 26. Nilianza na Cresta Balooni, niliuza Dodoma miaka hiyo, Suzuki Escudo, nikauza hapa hapa Dar...
  5. FLAVOR

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Nimerekebisha niko Dar
  6. FLAVOR

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Samahani niko Dar es Salaam, Zakhiem kiwanda cha simenti siku za weekdays, na siku za weekend nakuwa Kitunda Relini, gari inakuwa maeneo hayo sababu inatumika
  7. FLAVOR

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Asante Sana mkuu. Kwenye hivi vyombo utunzaji ni muhimu sababu huwa usipotunza ukataka kuuza inakuwa ngumu, lkn ukitunza mteja akija, msisitize aje na fundi aendeshe tena kwenye njia mbovu mbovu, hachomoki ! Haha haa
  8. FLAVOR

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Nashkuru Sana, Ntakucheki. kazi na iendelee
  9. FLAVOR

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Nimeweka sasa, nakutumia elfu 20,000 kabisa, kama asante ya kunikumbusha
  10. FLAVOR

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Done
  11. FLAVOR

    Kubadili injini ya rav4 J

    Naam umechagua kubadili na kuweka engine ipi? Kama hiyo ya mjapani ama unabadili kabisa? Gari ina transmission manual ama auto?
  12. FLAVOR

    Kufanya Overhaul: Je ni sahihi kwa muktadha huu!!?

    Nilifanya overhaul, kabla ya overhaul niliomba ushauri kwenye uzi mmoja wapo hapa JF. Wengi walisema usifanya nunua use. Wachache waliunga mkono. Siku nilipokuwa tayari nilienda Ilala kutafuta used nikiwa na fundi. Kuna mambo kadhaa nilikutana nayo ambayo walipitiliza budget yangu, engine...
  13. FLAVOR

    Kwa pesa hii nitapata gari ndogo?

    Mark ii, ile old ngumu kabisa ipo. Wanaiita classic. Inakufwata popote. Na hela ya mafuta nakuachia mwezi mzima
  14. FLAVOR

    Naomba Ushauri: Gari gani linamfaa mstaafu.

    Rav 4 old model. Achana na nissan achana na subaru. Mtafutie gari litakalompa amani
Back
Top Bottom