Kubadili injini ya rav4 J

kindoki

JF-Expert Member
Sep 17, 2018
213
218
Wadau gari langu ni rav4 Toleo la uingereza, yaani injini ni 3s G.E twin cam, sasa nataka nibadilishe niweke injini ya kijapan lakin ni rav4 iyo iyo, naombeni ushauri wa kitaalamu
 
Naam umechagua kubadili na kuweka engine ipi? Kama hiyo ya mjapani ama unabadili kabisa?

Gari ina transmission manual ama auto?
 
Auto
Naam umechagua kubadili na kuweka engine ipi? Kama hiyo ya mjapani ama unabadili kabisa?

Gari ina transmission manual ama auto?
Automatic, pia nataka niweke injini ya aina yoyote nitakayoshauriwa lakin yenye Cc ndogo Na iwe from japan
 
3sge ni moja ya Engine ya wastani yenye Ufanisi mzuri mno!

Ninayo Rav4.. Nimefunga 3sge nikatia Ecu nzuri..mpya! Mafuta inanusa..

Kama unabadir Engine usiweke injini za ajabu maana rav4 ni gari ambayo ni very useful ktk offroad.. Yaani 3s inafaa ktk rav4 ukibadir hyo iliopo weka same type.

Mwanzo Engne yangu ilikufa Nozzel.. Ikaw inakunywa.. Nikabdir ila wapi.. Nikavua Jiko.. Nikavesha jingine saiv napeta tu.. Kama ist vile.
 
jiko lake sh ngap mkuu
 
Mie nilipewa kama bure tu.. Maana mshkaj wangu ananunua spare parts japan direct so nilichogharamia ni usafir kuitoa store kwake ilala mpaka Tabata.. Ila 3sge ilala bei zake ni huanzia laki 9 mpaka mil 1.5
 
Wadau gari langu ni rav4 Toleo la uingereza, yaani injini ni 3s G.E twin cam, sasa nataka nibadilishe niweke injini ya kijapan lakin ni rav4 iyo iyo, naombeni ushauri wa kitaalamu
Mkuu kwa namna ninavyosoma uzi,naona kama vile unataka kubadili engine kwa sababu ya matumizi ya mafuta. Ila kabla hujabadili naomba ujiulize haya maswali kwanza.
1. Je itachukua miaka mingapi kufidia ile hela uliyotumia kubadilisha engine ? Mfano kama ulitumia million mbili kubadili engine na baada ya hapo utumiaji wa mafuta tuweke tu namba ya kufikirika.Ulikuwa lita moja kwa kilomitre 10 kabla hujabadili na baada ya kubadili engine sasa ni lita moja kwa kilometre 15. Sasa jiulize kwa kupitia ile savings ya mafuta,itakuchua miaka mingapi kurudisha million mbili uliyotumia kubadilishia engine ?Vipi hiyo hela kama ungeizungusha ungeweza kuzalisha kiasi gani ?
2.Nadhani engine zake zote huwa zinatengenezwa Japan,ila magari kuna assembly plant nchi kadhaa kama Canada,Russia,China etc etc.
3.Jaribu kuangalia 2WW ni diesel. All the best mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom