Recent content by Fitsa

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wabunge Pelekeni Bungeni Mswaada Wa Marekebisho Ya Sheria Dhidi Ya Ufisadi.

    Tutatukanwa Sana Na Kuitwa Majina Mengine Mengi Yasiyo Ya Kwetu (eg.tumbili) Huku Hela Na Rasilimali Zingine Zikiliwa Na Mafisadi (majitu),sasa ili kukabiliana na ubeberu huu ni muda muafaka sheria ifanyiwe marekibisho ili watuhumiwa wakipatikana na hatia waendelee na adhabu kali kiasi cha...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya Nyumba ya Wageni (Guest House) imekaaje?

    >BINAFSISHA KWA MWINGINE KWA HELA UNAYOLENGA KUIPATA eg.750,000
  3. F

    JamiiForums Tanzania Is It Possible, Mgombea wa CCM kwa 2015 ni Nchimbi?!. Yule "Jamaa Yangu" ni "Yohana Mbatizaji Tu?!.

    Dk.Rehema Nchimbi Is The Said One From The Inner Chamber Of The Ruling Party.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Zitto kajiharibia mwenyewe kwa kurubuniwa na CCM

    Kama Ndiye Aliyemfikisha Mpaka Pale Alipo,na Anataka Kuuambie Umma Uliokuwa Unamsikiliza, Kwa Akili Yako Angetumia Maneno Gani Ili Na Wewe Usione Ni Masimango ?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Yanayotokea Kiteto yanadhihirisha Tanzania haina Serikali

    Hakufaa Tangu Alipoteuliwa.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Dk. Slaa hana adabu na tafiti

    wewe nawe uko kama m.....u kwa sababu utafiti kama ule uliomweka dr.slaa nyuma ya pinda unautetea.hata pinda utafiti unasema anamzidi dr.slaa,that's is shame ! Ni wa hovyo kusema hivyo hakuna haja ya utafiti.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuhamishiwa Hoteli Maalum

    Marekani Watamfaidi Sana Kiuchumi..Wanaweza Wakamshikilia Hospitalini/Hotelini Kuongeza Mapato Yao.Ole Wanatanzania !
  8. F

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kuhusu ndege ya rais wa China kubeba Pembe za ndovu na kusema ni uongo

    Wakati viongozi hawa waandamizi wa serikali ya Tanzania wanasema hakukuwa na ukweli juu ya pembe za ndovu zilizotoroshwa wakati wa ziara ya rais wa China, vyombo vya habari vya kimataifa hususan "Al jazeera" na "BBC" vinasema vina ushahidi usiotia shaka juu ya tuhuma hiyo. Vyombo hivyo vimeenda...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa chadema haydom kesho wa kurudisha kadi za ccm na kuvaa gwanda na mh urudisha formu

    Ahsante Mzungu Pori Kwa Taarifa Yako.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aanza kujibu meseji za pole alizotumiwa

    Jk Ugua Pole Lakini Ujue Huku Nyumbani Tanzania Kuna Wapiga Kura Wako Wanaumwa Kuliko Wewe Hata Kushindwa Kufika Kwenye Hospitali Zisizo Na Dawa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema

    Pole Jk,kodi Ya Wananchi Wako Hiyo,ukirudi Hai Hakikisha Wana Pa Kuuzia Mahindi Yao.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili kumrithi Mizengo Pinda?

    Sitta Siyo Mbaya Au Riziwani
  13. F

    JamiiForums Tanzania Salma Kikwete, hebu rudini mara moja Nyumbani mkatoe majibu ya matatizo haya

    Wakati Wamama Wengi Humu Nchini Wanakufa Kwa Ukosefu Wa Madawa Na Vifaatiba,wewe Na Mumeo Mmekaa Kwenye Ma-garden Mazuri Ya Huko Usa Kama Kwamba Hakuna Tatizo Tanzania.Hali Iko Mahututi,hebu Rudini Mara Moja Nyumbani Kwenu Mkatoe Majibu Ya Matatizo Haya Taifa Liondokane Na Aibu Hii....Wakulima...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Jk aoga matusi na dhihaka katika status yake facebook kuhusu miaka 50 na amani yetu

    >labda Kama Unamtaka Ili Ukuwa Mkuu Wa Wilaya/mkurugenzi
Back
Top Bottom