Recent content by Fiscal policy

  1. Fiscal policy

    Mateso ya udahili wa wanafunzi vyuoni yameanza kuonekana

    Sawa kwa hizo data zako nadhani mfumo huuu mpya utawagharimu sana hasa watanzania wenye kipato cha chini!!!! Kwan kama ukijaribu kufanya maombi kwa vyuo vitatu itagharimu takribani tsh 90000.Kiufupi hali itakuwa ngumu sana.
  2. Fiscal policy

    Nifundisheni mimi kuandaa scheme of work ya hesabu kidato cha tatu

    Unasoma chuo gani??? Au umesoma chuo gani???
  3. Fiscal policy

    Nisaidieni hili swali wanachuo limenishinda!

    Nizile Four steps of cognitive development of the Child. According to Piaget
  4. Fiscal policy

    Natamani kumsikia raisi wa CWT akizungumza kuhusu tamko lao

    Kiufupi walimu naomba uamke kutoka kwenye wimbi zito la usingizi kwani sasa hivi unaonekana hauna thamani katika jamii.
  5. Fiscal policy

    Natamani kumsikia raisi wa CWT akizungumza kuhusu tamko lao

    Katika chama dhaifu zaidi duniani ni CWT yaani kinapunguza mishahara ya walimu masikini halafu utendaji wake ni sifuri.
  6. Fiscal policy

    Wanafunzi chuo kikuu cha Dar, wagoma kusaini fedha ya kujikimu (Boom)

    Ebu niambie umesoma chuo kikuu wewe???? Au unaleta sifa tu
Back
Top Bottom