Nifundisheni mimi kuandaa scheme of work ya hesabu kidato cha tatu

Status
Not open for further replies.

Pro Mwl

Senior Member
Jul 19, 2014
188
31
Walimu wa hesabati tukutane hapa kwa ajili ya kubadilishana uzoefu katika kufundiasha na kuandaa mitihani kwa ajili ya wanafunzi wa kidato 1-4

PIA
Nifundisheni mimi kuandaa SCHEME OF WORK ya hesabu kidato3....

Laa kama kuna mwalimu anayo soft copy Anipatie nikomae mwenye

ASANTE..
 
Shusha nondo hapa kama uko fiti.... usiulize ulize maswali Mwl tarajali.
 
Walimu wa hesabati tukutane hapa kwa ajili ya kubadilishana uzoefu katika kufundiasha na kuandaa mitihani kwa ajili ya wanafunzi wa kidato 1-4

PIA
Nifundisheni mimi kuandaa SCHEME OF WORK ya hesabu kidato3....

Laa kama kuna mwalimu anayo soft copy Anipatie nikomae mwenye

ASANTE..
Njoo inbox mwalimu
 
Ndio Tatizo la walimu, na hatuendelei ng'o. Mtu anaomba msaada badala ya kumsaidia mnaanza kumponda. Kwani mtu akimtumia iliyochapwa akaifanyia editing kadiri ya elimu yake atapungukiwa nini? Haya Mwalimu nimeshakutumia.
 
Nashukuru sana mkuu. Nafanya editing sasa.
 
Kuuliza au kuomba msaada sio ujinga ila tunamashaka na ww mpaka sahv bado upo kazin
 
Hawa ndio wanaoifanya jamii iamini kuwa walimu ni watu waliofeli! Huu ni ujinga kabisa kuuliza kitu ambacho umekisomea na ni fani yako.mbona hatujawahi ona madaktari wanauliza jinsi ya kutibu humu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom