Nisaidieni hili swali wanachuo limenishinda!

Hapa inaonekana wengi wanaongea koshabiki tu kwachuo ni kawaida sana kutolewa swali ambalo ataukitafuta Google majibu upati hususani kwenye somo la psychology kujua swali linataka nini ni rahisi lakini majibu mbinde apo minikipewaga assignment kama iyo nachofanya ni kusachi bila kuchoka Google na kudownload vitabu au PDF mbalimbali zinazohusiana na mada husika kwakawaida ninaweza kudownload PDF at a saba kwaajili ya swali moja na majibu mbalimbali ambayo sio PDF huwa nina screenshot na references zake mimi ninasoma bed-psychology na nishawai kufanya assignment saba za binafsi za psychology hivyo nauzoefu wakutosha
Ndo vijana Wa "campus". Kujisifia kwingi badala ya kumsaidia mwenzenu aliyekwama.Jifunze kuaandika ukiachanisha maneno pia jua matumizi ya "Ha na a" kama una uzoefu tiririka "straight to the point."
 
Hapa inaonekana wengi wanaongea koshabiki tu kwachuo ni kawaida sana kutolewa swali ambalo ataukitafuta Google majibu upati hususani kwenye somo la psychology kujua swali linataka nini ni rahisi lakini majibu mbinde apo minikipewaga assignment kama iyo nachofanya ni kusachi bila kuchoka Google na kudownload vitabu au PDF mbalimbali zinazohusiana na mada husika kwakawaida ninaweza kudownload PDF at a saba kwaajili ya swali moja na majibu mbalimbali ambayo sio PDF huwa nina screenshot na references zake mimi ninasoma bed-psychology na nishawai kufanya assignment saba za binafsi za psychology hivyo nauzoefu wakutosha
Kweli kwa uliyesoma psychology ilo swali ni gumu kweli? Tatizo ni jinsi ya kupata vitabu online ndo challenge ya wengi ila kuna site za educational research ambazo scholars hayo mambo wameeleza vizuri tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom