Recent content by Financial Market 255

  1. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Umegundua Jinsi Ya Kupata Kipato Zaidi Kupitia Uwekezaji Katika Hisa?

    Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa... Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi. LAKINI… Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
  2. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Mpendwa Mwekezaji Je! Muda wote umekuwa ukitafuta njia ya kujiongezea kipato cha uhakika kila mwezi, lakini kila unachojaribu kinashindikana? Lakini vipi kama kuna njia rahisi, isiyo na usumbufu, inayokuwezesha kupata kipato cha uhakika kila mwezi kwa miaka 15 ijayo bila hata kumiliki nyumba...
  3. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania ⚠️Soma Hii Kama Bado unateswa na Mikopo Kausha Damu Na... unatamani Kujinasua na Kujua Mbinu sahahi za kuweza Kutoboa Kupitia Mikopo_

    1. Usikope Fedha Kabla Hujajua Kiasi Cha Riba Unayopaswa Kulipa. Soma Vizuri Ujue Riba ni Kiasi Gani Na Uone Kama Unaweza Kuilipa au Huwezi, Watu wengi likija suala la kukopa huwa wanakuwa na kimuhemuhe kiasi kwamba hawatullii kufikiria kwa kina. 2. Usikope Fedha Ili Ukaanzishe Biashara. Kopa...
  4. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Hii hapa michongo ya financial market inayoweza kukufanya utoboe kimaisha bila hata connection wala mafuta ya upako

    Moja kati ya sehemu ambazo Kwasasa zina fursa Kibao ambazo zinaweza kukufanya ukatoboa. . BILA Hata kusota Wa kuteseka. Ni pamoja na Financial Market 🇹🇿 . Na Good News... . ni Kwamba Kwasasa Financial Market ya Bongo imeendelea kuongeza Wigo Wa Fursa na Michongo Ambayo unaweza Kukamatia na...
  5. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Iba SIRI Hizi 7 Za MAFANIKIO Kutoka Kwa Billionaire Mkinga Fred Vunjabei...(Ambazo Zitaenda Kubadisha Maisha Yako 10X) .

    23,April, 2021... . ....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM... Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio ILA... Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi . ...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed . Well...nisikuchoshe Ingia Mgodini Hapa Chini... . 1). Huwezi Kuwakamata Samaki Wakubwa (Papa)...
  6. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Copy Hii Mbinu Konki Inayopuuzwa na Watanzania Wengi Itakayokufanya uwe sehemu ya mgawao Wa Tsh 550.8bn 2025

    Mpendwa Mwekezaji . Je Unapenda Kuwa sehemu ya mgawao Wa Tsh 550.8bn?? M Kama Jibu ni Ndio Basi soma hii Hadi mwisho . Benki ya Crdb plc Kupitia report yake ya Fedha imetengeneza Faida ya Tsh 550.8 Kwa mwaka ulioishia 2024 . Ambapo Faida Kabla Ya Kodi ilikuwa ni Tsh 783.8bn, hii ni sawa na...
  7. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Hizi ni siri saba kuhusu fedha ambazo ni lazima uzifahamu kabla hujafikisha umri wa miaka 20

    Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni. Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina Vasco dagama Jinsi walivyoweza kufika afrika kusini kuliko kutufundisha namna ya kutengeneza...
  8. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha mno, hali siyo nzuri kabisa kuhusu wastaafu

    Benki ya Standard Chartered iliamua kufanya utafiti wa maisha halisi ya wastaafu wapatao 100.. Kutoka kwenye ajira za Serikalini, Mashirika ya Umma na Makampuni binafsi kwa muda wa miaka mitano (5) wakapata na matokeo yafuatayo: 1. Wastaafu 49 kati ya 100 (49%) walikuwa tegemezi kwa ndugu zao...
  9. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania The meaning of life

    Life is a beautiful journey filled with endless possibilities and opportunities. It is a precious gift that should be cherished and embraced wholeheartedly. Each day brings forth new experiences, challenges, and joys that shape who we are and who we aspire to become. No matter what obstacles we...
  10. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya nne ya viwanda

     athari za mageuzi ya nne ya viwanda
Back
Top Bottom