Huyu nape niwakenya au hajui wajib wake au hana tv kwake (jibu) wabunge wake mwenyew wapitishe alaf akatae kwel ccm wamefilicka kisiasa ndo maana wanahonga gas kwa madhamb ya mtoto wao ila wajue malipo ni hapa hapa dunian
Huyo nafikir bab yake ni baloz wa ccm so amefaid net! Kama wazir wa uingereza amejiuzul kwa ajil ya rada alaf serikal yet inamtetea chenge na bad anasem hivyo nivijicent, kama unaipend ccm we shetan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.