Recent content by Filimbi Haki

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kigoma Ujiji tusimame na kukemea uovu ndani ya manispaa yetu

    ACHA DHARAU HIZO KIONGOZI!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kigoma Ujiji tusimame na kukemea uovu ndani ya manispaa yetu

    True..Ahsante.Lakini serikali ilisitisha kuajiri darasa la saba tangu 2004...waliobaki waliachwa wastaafu..UPO SAHIHI KABISA.ELIMU ZAMANI ILIKUWA CHANGAMOTO.KABISA HATUWADHARAU NA TUNAWATHAMINI SANA.LAKINI KWENYE AFYA KUNA MPANGO MAALUMU ULIANDALIWA NA WARAKA UKATOKA KUWATAKA WAKASOME WALIOKUWA...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

    Eti Kuna CHMT na OPRAS? Sasa unadhani sisi hatujui ufisadi wenu..ungejua jinsi mlivyojulikana kuwafichia na jinsi mnavyohaha sasa hivi..wala hakuna mwenye roho mbaya kama yako ya kuwafichia uovu hao mashosti zako wa darasa la saba..#TULIA DAWA IINGIE# HAKI HAIJAWAHI KUNYAMAZISHWA NA MATUSI YA...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kigoma Ujiji tusimame na kukemea uovu ndani ya manispaa yetu

    TRAMADOL(Dawa nzuri sana hii) ..hatuwadharau bali WANAPOJIPA UKUBWA USIOSTAHILI TUNAWAPA ZA USO..Huyu mganga ameshawahi kuwatukana wahudumu wa afya(Medical attendants) kwamba hawajasoma hata kidogo ndio maana wanafagia...JIULIZE YEYE LEO KUKIRI NI DARASA LA SABA UNADHANI NI SAHIHII? Huyu Muuguzi...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kigoma Ujiji tusimame na kukemea uovu ndani ya manispaa yetu

    Nyabutoro hio niliiweka hapa kwa kuletewa na kundi la waliofurushwa.Mimi sipo serikalini kiongozi..ni mjasiriamali na wewe unanijua kwa sura na nimeshafika eneo lako la kazi several times..TOSHEKA NA HILI...WIZI WA KODI NA MATUMIZI MABAYA YA PESA ZA UMMA TUNAYAKATAA!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

    Ha ha umechanganyikiwa na unaonekana wazi unahitaji matibabu ya haraka ya akili..unatukana huku una miaka 57! ha ha ha we kweli punguani.LALA MAMA(TENA BIBI KABISA KIUMRI).KAZI HII TUACHIE..TUMEANZA NAYO NA TUNAENDELEA NAYO.SUBIRI UTAONA TU!..Kutembea kwa mguu walitembea mpaka waliokuzaa na wewe...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kigoma Ujiji tusimame na kukemea uovu ndani ya manispaa yetu

    Jamani wadau nawashukuru sana hasa wafanyakazi mlionitumia details za Ufisadi na Ujanja Ujanja wa hawa Darasa la Saba waliokuwa wakiendesha manispaa kama gari mbovu. Nawashukuru sana kwa sababu taarifa nyingi na za uhakika kama taasisi ya Filimbi Haki tumeshazipata na kuipeleka sehemu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

    Tena we Mekuoko una miaka 3 kabla hujafikisha umri wa kustaafu.acha taasisi ziendelee na kazi..we tulia utaona kwanini taasisi ya Filimbi HAKI inafanya kazi kusafisha watu waovu na wezi katika sekta mbalimbali.HUU NI MWANZO TU...SERIKALI YA NCHI HII INA MKONO MREFU SANA.WE SUBIRI MATOKEO TU YA...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

    Huezi elewa kama UNA AKILI YA DARASA LA SABA KAMA WENZAKO HAWA..Tatizo wanaaibia nchi..mimi sijaachishwa kazi..Mimi nimejiajiri ila nawazungumzia hawa waliofikisha taarifa kwetu...wewe baki na darasa la saba wenzako..tena ukizidi kuwatetea NITAKUCHEFUA kwa uovu wao ili ustaajabu zaidi..HIVI...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

    alaaa kumbe hujui.AMO ni ass.Medical Officer yani mganga msaidizi..cheo kipo Tanzania tu nacho husomi isipokuwa una elimu ya Form Four!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

    Tulia ngoja tutakununulia dela uvae tena litakupendeza kweli..sisi Kigoma hatutaki kuwa shamba la bibi kama wewe BILA BILA..Yani wewe ni kama Jina lako!
  12. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

    We nae kama umechanganyikiwa vile..HAWA WALINYOFOA VYETI VYAO KUTOKA KATIKA MAFAILI YA WATUMISHI WA UMMA(HILI NI KOSA LA JINAI PIA) WAKATI WA ZOEZI.NDIO MAANA AFISA UTUMISHI YEYOTE MANISPAA ANAJUA HAWA NI FORM FOUR NA MISHAHARA YAO HAIKUWA KATIKA CATEGORY YA DARASA LA SABA...SIJUI KAMA UNAELEWA...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

    Haruhusiwi kwenda chuo cha AMO kama huna cheti cha FORM FOUR...MUULIZE YEYOTE..NDIO MAANA UNAONA HAWA WATETEZI WAO WAJINGA WAJINGA WAMESHATULIA! KAZI INAENDELEA..NA WIZI MKUBWA WALIOFANYA KATIKA MANUNUZI YA IDARA YA AFYA 2016/2017 ILIYOISHA NAYO INAFANYIWA KAZI.SUBIRI UTAJUA SERIKALI ILIVYO NA...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

    Tulia baada ya muda utaona hali halisi..sasa taarifa zao tumezituma wizara inayohusika...ni suala la muda tu!...KWA HIYO WAACHE WAENDELEE NA UFISADI WAO MANISPAA LAKINI UTASHANGAA MUDA UTAFIKA KIMAAJABU NA KILA ALIYEHUSIKA KUFICHA NYARAKA,KUWASAIDIA KUFICHA VYETI VYAO..KUFUTA TAARIFA ZAO ZA...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

    Muda unahesabika..huwezi kuwa na mameneja wa Afya DARASA LA SABA HALAFU WAKAONGOZA WENYE DEGREE..Ujinga huu utakuwa hapo kwenu tu!
Back
Top Bottom