Nadhani sasa wakati umefika wakuu wa nchi kuwa seriuos na suala zima la madawa ya kulevya nchini,mara nyingi tumekuwa tukisikia watu wanashikwa na madawa ya kulevya lkn hatusikii hatma zao zinakuwaje,waletaji na wauzaji madawa ya kulevya wameharibu sana nguvu kazi ya vijana wengi nchini,ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.