Shamba la Miti lenye ukubwa Wa ekari tano pamoja na ardhi vinauzwa kwa pamoja ,shamba linapatikana iringa mufindi,(luhunga) aina ya Miti ni misindano(paina)umri ni miaka mitano being ni million 6.5,,kwa maongezi zaidi 0714035105/0769725265,kalibu
Hongera sana mimi ni kijana ,mwenye future kubwa sana lakin sijaona kijana mwenye maono kama wew inshort umebalikiwa sana ,pia nina maoni kidogo japo unaruhusiwa kunikosoa
1: anza kwanza uzalishaji wa nguruwe then utajisajili badae ukisha fikisha target ya nguruwe uliyo panga,nafikir mwaka moja...
Samahani ntajibu kwa kifupi,kuna aina nyingi za miti ya mbao,lakin kwa kwa upande maeneo niliyopo mimi iringa(mufindi) paina (misindano) inafanya vizuri sanaa ndio maana hata selikal ina mashamba makubwa sna sao hill,pia kuna miti ya nguzo ambayo inauwezo wa kutoa mbao na nguzo pia.umri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.