Recent content by fiksiman

  1. fiksiman

    Familia ya Ivan matatani kwa kufukia pesa ya Uganda

    Hawa Rich Gang sio drug dealers maana hela zao mi hata sijui wanazitoa wapi tunaona tu kwenye mitandao. Navyosugua gaga mie ndo nikazitupe tu hela maweeeeeeee
  2. fiksiman

    Baraza Kuu la Uongozi la Taifa CUF, kwa kutumia uwezo wake limemfukuza uanachama Profesa Lipumba

    Au ndo kwenye wenye chama chao huku barua ni tawi tu
  3. fiksiman

    Baraza Kuu la Uongozi la Taifa CUF, kwa kutumia uwezo wake limemfukuza uanachama Profesa Lipumba

    Kuna sababu kwanini mkutano umepelekwa zanzibar...hahaha
  4. fiksiman

    Baraza Kuu la Uongozi la Taifa CUF, kwa kutumia uwezo wake limemfukuza uanachama Profesa Lipumba

    Wajanja washatengeneza zengwe UKUTA chaliiii jumamosi, jamani tukafanye kazi hawa watu wa wasiasa wanalo wanalolijua sio kwa kutupoteza huku maboya...master of spinning at work
  5. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    Watu wameelewa mkuu ila wameamua kuhamishia stress zao kwenye huu uzi. Hakuna anaewapenda majambazi hata wao kwa wao hawapendani ndo maana kamanda kasema waliuana wenyewe[emoji1] [emoji1] . Tunachotegemea kutoka jeshi la polisi ni kuwakatamata na kuwafikisha kwenyw vyombo vya maamuzi watuhumiwa...
  7. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    Usitumie nguvu sana mkuu, afu vitisho vishapitwa na wakati. Leo shangilia wauwe kesho litakukuta wewe au mtu wako wa karibu atachapwa risasi kwa mambo mengine akapewa ujambazi.
  8. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    Mkuu kwani hawajaelewa basi ila ndo wameamua kujitoa ufahamu tu...point ya msingi iko wazi hata logic inaeleweka point black
  9. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    Tulishapata uzoefu wa haya matukio huko nyuma ambapo watu wasio na hatia waliuawa kwa kuitwa majambazi na zikaja hadithi za kurushiana risasi. Bahati njema eneo lilipotajwa tukio wananchi walikuja kukanusha na baadae sote tunajua kilichoendelea hadi Kamanda Zombe akiingia matatani. Sasa huko...
  10. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    Kazi ya kuhukumu ni ya mahakama, na polisi waendelee kuwasaka watuhumiwa na kisha wawafikishe mahakamani. Ikifika polisi wanaua wenyewe majambazi ipo siku wataua watu wasio na hatia kama ilivyotokea huko nyuma....bahati nzuri watu walijitokeza kusema ukweli sasa hii ya msituni hatuna mtu wa...
  11. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    Hapa hakuna anaetetea majambazi, lakini hatuwezi kuruhu polisi waue watu bila kuwafikisha mahakamani sasa nyie mnaounga mkono mtuambie tufute mahakama na tufute katiba. Kila mhalifu ahukumiwe kwa kufuata sheria sio assasination ambayo huko nyuma tumegundua sio matukio yote ni kweli yametokea...
  12. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    Hii nchi naona mmechoka kuongozwa na katiba wala sheria....basi tuendelee na uendeshaji wa matamko. Akipataikana mtuhumiwa hata kama hajathibitika ni jambazi muulie mbali [emoji1] [emoji1]
  13. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    Kwahiyo tunakubaliana polisi wapewe kazi ya kuua bila mtuhumiwa kufikishwa mahakamani
  14. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    Wewe ndo umeleta siasa, kwanza hadi wanafika kuwapiga risasi wenzao tena usiku wa manane walikuwa wamejuaje wenzao wamekuja na polisi? Je polisi waliendaje sehemu bila kuhakikisha kuna tahadhali maana hata usalama wao hawakuuzingatia. Onyesha iliposiasa hapo mkuu
  15. fiksiman

    Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    That's if they get the right people, jeshi letu halina uamifu wa kupewa hiyo nafasi. Wataua watu kwa kofia ya ujambazi kumbe wanapiga hela
Back
Top Bottom