Familia ya Ivan matatani kwa kufukia pesa ya Uganda

Ukiangalia formula ya waliotengeneza pesa walifikiri ili kuwa nayo lazima ufanye kazi na ndio maana wakaja na equition ya MV=PQ. Sasa tumeingia katika ngwe ambayo unakuta mtu ambaye akili yake inatakiwa kumiliki milioni 5 anamiliki milioni 500 lazima ataishia kufanya mambo kama haya!
Pia hapa tuna matatizo hayo na ndio maana pesa inaonekana kuwepo lakini maisha ya watu hatubadiliki. Unakuta mtu anapewa tenda ya Billion 60 na serikali lakini ukimwambia niandikie tarakimu za hizo pesa hawezi.
 
Wanatafuta kiki ,hao ndio wale wana mavyeti mengi hila hana pesa matokeo yake anakuwa na hasira na mafanikio ya watu,kimoyokimoyo anajiona mpumbavu,akitafuta return on investment ratio
Wanatafuta kiki? Kama na wewe unahisi pesa uliyonayo ni mali yako, chukua hata sh 1000 tu ichane hadharani uonekane.... Halafu uone ukienda mahakamani shitaka utaloandikiwa.
 
Ulimbukeni unaweza kukufanya uwe na hela zote duniani lakini bado uwe masikini.

Money can't buy class.
 
Yaani hao wanasheria wameona hasara ya kupoteza/kuzika pesa kuliko roho ya ivan?

Basi wamvue na suti aliyozikwa nayo na vidani vyote vya dhahabu.
Nenda mbele ya kituo cha polisi afu kachome moto pesa ndo utajua kama hiyo pesa ni ya kwako au ya nani
 
Hawa Rich Gang sio drug dealers maana hela zao mi hata sijui wanazitoa wapi tunaona tu kwenye mitandao. Navyosugua gaga mie ndo nikazitupe tu hela maweeeeeeee
 
U
Wanatafuta kiki? Kama na wewe unahisi pesa uliyonayo ni mali yako, chukua hata sh 1000 tu ichane hadharani uonekane.... Halafu uone ukienda mahakamani shitaka utaloandikiwa.
Uganda kitu vitu vingi vya kudeal navyo , waende kusaidia wanyonge ambao hawamudu kulipa mawakili au wakamsaidie bisegye anaonewa na M7
 
Ila Jf Cku Hz Inaniangusha Sana, Cjui Members Wa Miaka Hii Ndo Matokeo Ya Shule Za Kata Au Vp! Cjui Hata Wanatokeaga Wap? Hv Watu Wanafukia Chini Pesa Nyingi Za Benk Kuu Ya Uganda Af Mnaona Sawa! Duniani 2mekuja Uchi Na Tutandoka Uchi. Kwa Sheria Za Benk Kuu Hata Ku2unza Hela Tu Ndani Ya Nyumba Ni Kosa, Hela Znatakiwa Ziwe Kwenye Mzunguko, Na Ww A/C Yako Benk Inatuzwa Kwa Tarakimu. Kufcha Hela Nyingi Ndani Au Kufukia Kunasababsha Idadi Ya Noti Au Sarafu Kupungua Kwenye Mzunguko Na Kuisababishia Benk Kuu Kuprint Hela Zngine. Acheni Kusoma Magazet Ya Udaku, Someni Magazet Yenye Akiri Mpanue Mawazo Yenu Vijana. Zile Zile Pesa Wangeingiza Kwenye A/C Ya Watoto, Pale Benk Zngesaidia Kukopesha Wajacriamali Wadogo, Pia Miaka Ya Baadae Watoto Wangeweza Kufanyia Investiments Na Kuajiri Vijana Wenzao Wa Kiganda. Kafa Princess Diana, Kafa Stive Job, Kafa Michael Jackson, Hata Akifa Trump Au Dangote Hautackia Huo Upuuzi. Hilo Ndo Tatizo La Pesa Kumilikiwa Na Watu Masikini.
 
Fedha siyo za Ivan, ni mali ya Bank Kuu ya Uganda. Bora kama hizo fedha zingebadilishwa kuwa vito vya dhamani kama dhahabu, almasi kn.
Fedha lazima iwe kwenye mzunguko wa nchi husika. Zaidi ya hapo hapakuwa na sababu ya msingi kuzika hizo fedha. Kwa kumuwekea kumbukumbu nzuri Ivan wangemfungulia mfuko maalumu (foundation ) halafu hizo feha zikawa zitumika kumuezi kuliko kuzifukia. Hipo ni kosa la jinai kisheria na hizo fedha kufukuliwa ni sahihi.
 
Nenda mbele ya kituo cha polisi afu kachome moto pesa ndo utajua kama hiyo pesa ni ya kwako au ya nani
What matters is cash payout.
RICHT GANG decided themselves to blow their money just as usual without considering the magnitude of circulation.
Sheria nyingine ni za kizandiki tu, hazina maana yoyote ya kuendelea kutumika.
 
Back
Top Bottom