Recent content by FikraHuru255

  1. FikraHuru255

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

    Naomba source ikithibitisha Iran kusema hivyo
  2. FikraHuru255

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

    Usishangae baada ya hii wakamfanyia figisu
  3. FikraHuru255

    JamiiForums Tanzania Kuoga ni dk15-20, Nyie mnaotumia dk1,2,3 kuoga, unaoga! Sasa unaoga nini?

    Kuna wa utasikia makopo mawili tu pwaa pwaa huyo kashatoka
  4. FikraHuru255

    JamiiForums Tanzania Mwanaume paka mafuta sehemu za siri, Usione aibu, Ni muhimu

    Kiukweli mi Huwa napakaa mafuta nikashavaa nguo zote Tena napakaa zile sehemu zinazoonekana kama uso na viganja vya mkono basi
  5. FikraHuru255

    JamiiForums Tanzania Solar system ina sayari nne tu kuanzia leo ni vizuri ukalijua hilo

    Ilikuwaje ukajua yote hayo?
  6. FikraHuru255

    JamiiForums Tanzania Solar system ina sayari nne tu kuanzia leo ni vizuri ukalijua hilo

    Nisaidie source ya material unapotoa hizi taarifa
  7. FikraHuru255

    JamiiForums Tanzania UTABIRI-TOPSECRET

    I can't wait to prove you wrong
  8. FikraHuru255

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

    Anakuwaje mmoja embu fafanua
  9. FikraHuru255

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za kuoga mwili mzima kiafya

    Umenikumbusha mbali ila Iringa msimu wa baradi mbona bado
  10. FikraHuru255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

    Mzee ana hoja asikilizwe
Back
Top Bottom