Recent content by Fikra mlazo

  1. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza kalimati

    Shukriya Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  2. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza kalimati

    asante sana..nitajaribu Bi Amina Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  3. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza kalimati

    ndiyo.
  4. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza kalimati

    Habari nduguz. mwenye namna ya kuteblngeneza kalimati anielekeze pls. recipe nlopewa mara ya mwisho zilitoka nyembamba na zilinyonya sana mafuta, in short sikuzifurahia. Msaada tafadhali.
  5. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Hii cake inapikwaje?

    sijui ..jaribu kugoogle red velvet cake recipes na hiyo ya chini cheese cake
  6. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Healthy tip that will blow your mind!

    wanaita Rozella..
  7. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya tumbo na mgongo baada ya period

    bila kusahau kuepuka vitu cold kipindi hiko, chai moto ya tangawiz itakupa joto.mwilini na kurelease maumivu na kutowesha kabisa
  8. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya tumbo na mgongo baada ya period

    jaribu mazoez na pia kunywa maji ya kutosha before period. yaani anza kukeep active itakusaidia na uoge maji moto ukiwa period.pole sana
  9. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa Magazeti ya Tanzania wanakosa umakini wa mambo madogo sana, wajirekebishe

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nlidhani nimeona pekeangu
  10. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Kuchangia pessa za interviewer

    Hata mi nimecheka hapo tu.. Guys mywe makini, mafamba mengi sana sikuiz. A true employer will never ask you a penny kwa kuwa anajua uko jobless na moneyless ndo mana unaapply kazi. Halafu sikuiz wamejaa sana Zoom hawa watu na kwenye other job search engines.
  11. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kukaanga mbegu za maboga

    mboga? hili jipya kwangu. je natumia mbadala wa karanga? kwenye mboga gani?
  12. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kukaanga mbegu za maboga

    hii pia najua..
  13. Fikra mlazo

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kukaanga mbegu za maboga

    Zikaushe juani kwanza kisha ukaange kwenye frying pan au sufuria kavu..add salt basi . sasa inategemea matumizi yako ni kwa ajili ya nini ila kama ni kwa ajili ya kuboost maziwa mlaji anaweza zimenya akala ile nut ya ndani au ukazisaga kwa blender ya vitu vikavu bila kuzimenya na ukamix kwa uji...
  14. Fikra mlazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasubiri kumfumania mke wangu,naombeni ushauri wenu wanajukwaa!

    Heshima ya mwanaume Huja kwa kutimiza majukumu ya ndoa kikamilifu, sio talaka.
  15. Fikra mlazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasubiri kumfumania mke wangu,naombeni ushauri wenu wanajukwaa!

    Kumegewa siri ya ndani Mbaba, unataka kamfumania unaweza kustahimili???????? Tafakari n chukua hatua kabla ya kaleta jukwaani. Napita tuuu.
Back
Top Bottom