Recent content by FIKIRIMAENDELEO

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Mwigulu, J. Makamba, Lusinde, Kairuki yavuja [PENDING VERIFICATION]

    Duh kumbe huwa tunajadiliana na vijana wa IT Masaki. Kweli mabadiliko ni sasa. Piga kura linda kura.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki

    Eeeh Mungu tuepushe na hili balaa. CCM your time is up. Mwaka huu lazima muondoke.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Siyo Suala la Chuki Dhidi ya EL, ni Suala la Tofauti #AlipoHatupoTulipoHayupo!

    Mwanakijiji nadhani ndo usajili mpya wa Lumumba. Jamaa walianza na ukabila, wakaja ukanda sasa wanasema udini lakini wananchi tumeshaamua na haturudi nyumba. Lowassa hadi Ikulu
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Mwanakijiji tunakuheshimu lakini binadamu lazima uwe tayari kukubali mabadiliko kwa maendeleo ya maisha yako kwa ujumla. Lowassa ni catalyst wa hayo mabadiliko tunayotaka.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    Ni lazima ajitokeze na aombe radhi Watanzania kwa kutuita Wapumbavu na Malofa.
  6. F

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili Tumewachoka!

    Usipanic ndugu, jiulize hayo wanayosema ni kweli au si kweli? Tafakari na chukua hatua.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ruge ulipaswa useme hili umalize mzizi wa fitna!

    Issue siyo yeye kama mtu kusupport upande mmoja. Issue ni kutumia media inasikilizwa na watu wote kusupport upande wake na kukandamiza upande mwingine. Wakati wa kampeni bado lakini chombo chake kimeshaanza kampeni. Je, hiyo ni haki?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ruge ulipaswa useme hili umalize mzizi wa fitna!

    Nakubaliana na wewe. Hilo tangazo ni hila za CCM na Ruge wao.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Duh hii ni balaa kabisa. Kweli Peopleeeees Poweeeeeeer
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mabasi Yaendayo Kasi (DART) Dar Yataenda Mwendo Gani Wakati wa Mafuriko?

    Hakuna kasi pale. Tujiulize tu swali rahisi, hivi kila baada ya mita 500 kuna kituo, je kuna kasi hapo?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mnyika kurudi bungeni ni 100%

    Mnyika hata siku moja hawezi kushinda uchaguzi. Hapa Ubungo hakina maji miaka yote. Barabara zote ni mbaya mfano barabara ya kwenda Kibangu. Mnaotaka kujifurahisha mjifurahishe na topic zenu mitandaoni.
Back
Top Bottom