Recent content by fikirijohnas

  1. F

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutokana na taka

    Ahsante sana ndg
  2. F

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutokana na taka

    🙏🙏🙏
  3. F

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutokana na taka

    Mwanza
  4. F

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutokana na taka

    Hapana Hapana mkuu,Sina elimu ya ndani zaidi kuhusiana na hilo ndio maana ninahitaji kuelimishwa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutokana na taka

    Hapana Mkuu Ahsante rafiki
  6. F

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutokana na taka

    Milioni tano mkuu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutokana na taka

    Habari wadau. Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha kuchakata taka mbalimbali kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali(recycling) Ninaomba kwa mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu wazo hili anisaidie orodha ya baadhi ya bidhaa zinazoweza kuzalishwa kutokana na taka(recycling)kwa gharama ndogo...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mifuko ya kupakia mizigo

    Naomba msaada wa mahali zinapatikana mashine za kutengeneza mifuko ya kupakia mizigo mfano nafaka yenye ujazo wa kuanzia kilo 25 hadi 100. Ahsanteni
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tiba ya unyevu(fangasi) kwenye nyumba.

    Habari ndg zangu. Ninaomba tiba ya fangasi kwenye nyumba ambayo tayari imeathirika na fangasi ya ukutani. -rangi na tofali vinapukutika kutokana na unyevu wa maji. Ahsanteni.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Msaada:Jinsi ya kupata Lipa namba ipi nzuri?

    Na namba unayotaka kuiunga na lipa usiiunganishe na m pesa
  11. F

    JamiiForums Tanzania Msaada:Jinsi ya kupata Lipa namba ipi nzuri?

    Unaenda kwa wakala unaitoa pesa yote bila makato ila sharti lake ni kuwa unatoa mara moja tu kwa siku
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nitapataje mkopo? Dhamana yangu ni nyumba

    Ni kweli kabisa,lengo la benki ni kumuendeleza mteja sio kumfilisi,ukienda benki utaeleza malengo ya mkopo(biashara) na kiasi cha mkopo unachohitaji, Benki itakuja kutembelea biashara na dhamana yako ili kuona kama inaendana na kiasi cha mkopo unaoomba. Kisha utapewa ushauri kulingana na hali...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ipi ni biashara nzuri kati ya hizi?

    Ahsante ndg
Back
Top Bottom