Recent content by fijohnas

  1. F

    JamiiForums Tanzania Msaada,kozi zinazohusiana na masuala ya uhasibu na fedha

    Habari za mida jamani,naomba msaada wa orodha ya kozi za masuala ya uhasibu na fedha kwa ngazi ya degree,ukiweka na vyuo zinakopatikana itapendeza zaidi,ahsante wakuu.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuchapisha kitabu

    OK ndg
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

    Asante sana ndg,nimekuelewa vizuri
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

    Kwann mkuu
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

    Sawa mkuu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuchapisha kitabu

    Naomba contacts kwa WhatsApp 0759709224
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

    Hilo nalo neno mkuu,nimekuelewa vizuri
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

    Nashukuru,akiziona kama sehemu ya kutimiza majukumu yake kwa mjibu wa profession yake hakuna tatizo ndg,vinginevyo atakuwa anakosea.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuchapisha kitabu

    Uko mkoa gani ndg,nahitaji msaada wako,hatuwezi kupanga namna ya kuonana?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

    Sawa ndg,ila yeye ndo kaniomba nimshauri kuhusu kozi zenye uhitaji mkubwa kwa sasa.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

    Asante sana ndg,nimekupata vizuri
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

    Ahsante ndg
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

    Habari wakuu,nina mdogo wangu anahitimu form six mwaka huu kwa combination ya CBG,tunaimani kuwa atafaulu,ni kozi gani anazoweza kusoma kwa ngazi ya chuo kwa masomo yake hayo? Ahsanteni
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume kampiga simu ndugu wa mke, mke anadhani anatembea na mumewe

    Shida ni kwamba mwanamke anamlazimisha jamaa kuwa anamahisiano ya kimapenzi na ndg wa mkewe,jamaa anakataa kabisa kuhusika na hilo
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume kampiga simu ndugu wa mke, mke anadhani anatembea na mumewe

    Ndugu habari zenu, Jamaa yangu wa karibu amepatwa na mkasa huu; nyumbani kwake anaishi yeye, mke, watoto na ndugu wa mke wake jinsia ya kike. Siku moja alienda safari, kabla ya kurudi alitaka kushonea watoto sare ya kanisani, akampigia mkewe kumuulizia juu ya rangi ya sare, simu ya mkewe ikawa...
Back
Top Bottom