Recent content by Fifi robby

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nani ameimba wimbo wenye maneno NIPENDE NIJINASUE?

    Aisee hata mimi nimeutafuta sana sijaupata
  2. F

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kupata visa ya Italia

    Wazo zuri sana aisee was ipo nipa inabidi nitafute mbinu nyingine
  3. F

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kupata visa ya Italia

    A Wananiambia nisubiri eti file langu limetumwa belgium aiseee yani wanifanya nidate kabisa
  4. F

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kupata visa ya Italia

    S Sijapata bado na passport yangu bado wanayo
  5. F

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kupata visa ya Italia

    Oooooh mara ya kwanza ulipata schengen visa kupitia nchi gani Tanzania na ilikuwa je ukipata usumbuvu wowote???
  6. F

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kupata visa ya Italia

    Naombeni Msaada nimeomba visa ya austria kupitia ubalozi wa belgium nimeambatanisha kila kitu adi documents za nilipo ajiri Bank statements, mktaba wa kazi na kila kitu... Sasa siku yangu ya kusafiri ilikuwa imeshakalibia nikaenda kufatilia kuna mdada pale mtanzania akaniambia file langu boss...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kupata visa ya Italia

    Aisee mbona hii hatari sana
Back
Top Bottom