.MAGUFULI Ajiuzulu kwa kututengenezea barabara zisizo kuwa na viwango.Magari hayo hayo huku TZ yanalaumiwa kuharibu barabara mbona hayazuiliwi huko yaendako,mengi yanaenda ZAMBIA,CONGO,ZIMBABWE,BURUNDI,UGANDA RWANDA.Inamaa yakifika huko na uzito unapungua? Wenzetu bara bara zao zina ubora wa...