Nimeona mtoa hoja hapo amejichanganya vya kutosha kama vile hajui anachoongea.
1. Anafananisha uchumi wa Tanzania na Marekani (yaani nchi ya kwanza duniani kwa utajiri na ya mwisho kwa umaskini) Hata tofauti haoni? Hata hivyo sishangai kwa utamaduni uliokuwepo huko Tanzania kulinganisha kila...
Ama kweli watanzania wanachekesha, Huyu Kikwete aliyeshindwa nchi anaweza akapewa UN?? Thubutu....si huyu Kikwete ninayemfahamu....HANA UMAARUFU WOWOTE ZAIDI YA KUJIPENDEKEZA. Hizo Awards zinaweza kutolewa hata na magazeti ya mzalendo au uhuru au hata mashirika madogo yasiyofahamika ya...
Tanzania iliyojaa usanii! Mwanasheria hakusoma zuio kama ni halali sasa kwanini alilipeleka ili lizuie mkutano??? Hawa ndiyo wanasheria wetu waliofikisha nchi mahali hapa ilipo kwa kupitisha mikataba mibovu kwa sababu tu wameshindwa kusoma....je kuandika mikataba itakuwaje? Huyo Mmbando alijua...
Hiyo ndiyo Tanzania, mtu mzito akiiba anapewa kazi ya kufagia wakati wengine wanafia jela. Mahakama zetu zimejaa rushwa na hazitendi haki, siku zote zinatetea mafisadi hilo hata Magufuli analijua. Majaji na mahakimu wanaongoza kwa uchafu wa rushwa kiasi kwamba sijui waliapa kwa nini walipokuwa...
Monsanto hapa Marekani kila siku inapigwa vita, nimeona kama serikali ya Tanzania inajaribu kuwakubalia kulima hayo mazao yao nchini!Aibu.
Hiyo ni pure GMO (GENETIC MODIFIED FOOD) asiyejua madhara ya GMO aende kwenye Google asome. Jamani watanzania hayo mahindi na vyakula vya GMO wadudu...
Mnamuandama Lowassa bure, leo ndiyo mnaona makosa yake baada ya kuondoka CCM? Siku zote alikuwa mzuri, lakini leo amekuwa amewadhuru watu, amekuwa na nyumba Singapore na UK, nini cha ajabu mbona watanzania wengi nje ya nchi wana nyumba za maana zenye swimming pools and other luxurious amenities...
Hakuna lolote huyo Nape na CCM wenzake waropokaji, Lowassa hakufanya kosa lolote, kama alifanya mbona hawakwenda mahakamani? Leo miaka minane imepita ndiyo ninyi CCM mnasema Lowassa amewadhuru watu....watu gani wewe Nepi kama akili yako inafanya kazi? Kikwete amehusika na Richmond kwa asilimia...
nchi yetu kwa uongozi huu wa kikwete ni kama dynasty.....mke mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa, mtoto ridhiwani mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa, watoto wengine wanakuwepo kwenye msafara wa rais ingawa hawahusiki. Ndiyo maana fedha za safari ya rais inaumiza nchi, watoto wa maskini mtaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.