wewe ni miongoni mwa watu waliopata zero kipindi cha shule, huna akili hata moja kichwani! juzi magufuri katambulishwa mikoani na maandamano police hawakuliona sasa Lowassa kutambulishwa mikoani wao ndio wanaliona? wewe ndio unashabikia vitu husivyovijua....!!!!
Lowassa hakuwahi kushindwa kwenye upande wa kupigiwa kura na watu pia hakuwahi kuwa wa pili kwenye kupigiwa kura...kama una ushahidi kwenye nini kunapohusiana watu kupiga kura lowassa akashindwa, muulize kikwete na nyerere wao ndio maana wanamkata mapema kabla hajafika kwenye kupigiwa kura.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.