Tabia hii mbaya imekua kama mazoea sasa.
Mitaa ya MALIMBE na maeneo yote ya chuo kikuu cha SAUT hukatiwa umeme kila siku kuanzia asubuhi sana mpaka jioni ya saa 12 bila taarifa yoyote.
Tunashindwa kuelewa shida ni nini? kuna mgao?, kuna matengenezo?, ama ni interest tu za watu wachache...
ni muhusika nn mkuu?? achieni matokeo acheni ujinga huu ulimwengu mwingine bwana mambo ya kidiktekta hayapo
hiyo mia tano kwa kila mwanafunzi inahusu shule na si mwanafunzi.
hakuna hiyo sheria wakaguzi wanatakiwa wapate fungu toka serikalin na si kwa kuzuia matokeo ya wanafunzi.
shule zenyewe za kita zipo hoi bin taabani bado wanazinyonya kila kona, wanafunzi hawalip ada, serikali haipeleki fungu kwa kila mtoto km ilivyoahidi, unadhani huyu mkuu wa shule atalipa nn...
Wanafunzi na walimu kanda ya kati wamebaki katika hali ya sintofahamu baada ya mkaguzi mkuu kuzuia matokeo ya mtihani wa taifa kidato cha pili eti kwa madai kwamba wakuu wa shule hawajalipa hela ya ukaguzi. Wanafunzi wanahoji juu ya ada wanayochangia katika mtihani huo una uhusiano gani na...
nimeamin members wa jamii forum ni funika...mpaka sasa great thinkers laki moja elfu thelethin na tatu na zaidi tumepitia thread hii wengi tukiwa hatuna matumaini na serikali ya sisiem KIUFUPI TUMEKATA TAMAA KM RAIS WETU ALIVYOKATA TAMAA ANAUSUBIRI 2015 IFIKE HARAKA AKAFIE MBELE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.