CCM kabla hamjahoji ya Zitto, tuambieni nini kilimpata Kolimba

Status
Not open for further replies.
Mazuri na mabaya ya Zitto wanayajua kamati kuu,CHADEMA sasa nyie chama cha majangili(ccm) mnamtetea kwa sababu gani?
Kuna mchungaji mmoja aliniambia,nikitaka kujua tabia yako nioneshe rafiki yako,hapo nitajua kila kitu. Kwa hiyo urafiki wa zitto na Mwigulu au ccm kwa ujumla inareflect tabia ya Zitto.Hili halina mpinzani.Zitto katumwa na ccm kuharibu CHADEMA.Hujawahi kujiuliza swali hili,kwa nini Mwigulu Nchemba hajawahi kumsema vibaya Zitto kabwe?
Take it into account.
 
huwezi kuzuia kifo cha machadema kwa kuisingizia ccm. Chadema ni wabaguzi, wahuni na miungu watu

Jibu swali, mlimfanya nini Kolimba? Hiyo demokrasia mnayoitaka CDM kwa kuwa pandikizi lenu Zitto ameondolewa kwenye safu ya uongozi, mbona haitumiki CCM? Afadhali CDM imemvua Zitto uongozi lakini nyie mlimuua Kolimba kwa sumu.

Aibu yenu.

Tiba
 
rip kolimba! wewe mbele, mimi, kikwete, ighondu, zhoka, kinana, mwigulu na takataka zote ulizoziacha za ccm isipokuwa mimi tupo nyuma yako twaja!
 
ccm shame on you
na yeyote anaeshabikia CCM yupo ki maslahi zaidi na hakuna dhambi mbaya kama unafiki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom