muache wivu za ajabu hao wadogo sake na Heche hawakai Tarime dharau na wewe wapi na wapi...na wewe kama mdau unaemtakia Heche awe Mbunge ulishaa kaa nao ukawaonya au umbeabea tu
Mdogo wa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana taifa CHADEMA Mh. John Heche, Enock Heche ametangaza kugombea Udiwani kata ya Nyegezi Kwa tiketi ya CHADEMA.
Akizungumza na wananchi wa Mwanza mdogo huyo wa Heche amesema hayupo CHADEMA Kwa kuwa kaka yake yupo CHADEMA ila yupo CHADEMA kupigania haki...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino cha Mwanza na nasoma shahada ya ualimu mwaka wa pili... Leo tarehe 5/04/2013 ndio tarehe tulitakiwa kufanya uchaguzi kwa maana ya wabunge, na pia Urais cha kusikitisha ni kwamba Majina yaliyopitishwa na Senate ya wagombea wawili ambao...
hawa watu wanasumbua sana mimi ni mkazi wa TARIME nasikia kuna makundi yaliyogawanyika MOJA linaongozwa na MWENYEKITI WILAYA Anaejiita NGOTO na WENZAKE ambao wanatumiwa na mchungaji Maswi mdogo wake na Tajiri mmoja kwa jin GACHUMA ili wakivuruge CHADEMA ili kikose nguvu ili huyo tajiri agombee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.