Recent content by Fidel CastroTZ

  1. Fidel CastroTZ

    PreGE2025 Vijana CCM waitisha press kumjibu Gwajima, wataka avuliwe uanachama

    Sasa mbona hawajajibu hoja wanaleta majungu. Huko CCM nasikia kwenye katiba yao kuna kipengele linasema kuwa Zidumu Fikra Za Mwenyekiti wa chama. So huko kwao ni kosa kumkosoa mwenyekiti, aibu sana. Yaani wao wenyewe chama chao kina shida ya katiba. Vijana wa CCM wajitafakari hawana hoja, ni...
  2. Fidel CastroTZ

    Bunge la Ulaya: Tunasikitishwa na kukamatwa kwa Tundu Lissu sambamba na kuenguliwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2025

    Mmmh Derby ni jambo muhimu kwa nchi kweli? Una uhakika na unachokisema? Timu zenyewe toka zimeanza hazina viwanja vyao vya kujitegemea wanategemea kwa Mkapa, kwa nini wasiulizwe ya kuwa ni sababu zipi zimewafanya wasiwe na viwanja mpaka leo? Kazi kujadili derby ambayo wataicheza kwenye uwanja wa...
  3. Fidel CastroTZ

    Je, ni kweli matokeo ya Kidato cha 6 - 2024 yatatoka Julai 12 kama wasemavyo HESLB?

    Je Ni kweli kuwa matokeo ya form six 2024 yanatoka 12 July kulingana na picha hiyo hapo chini
  4. Fidel CastroTZ

    SoC04 Jeshi lenye mabadiliko ya kiteknolojia

    Nashauri bajeti ya Wizara ya Ulinzi iongezwe kwa kiasi kikubwa sana, ili kuliwezesha jeshi letu kwenda na kasi ya maendeleo ya kijeshi duniani. Pia vigezo vya kujiunga na jeshi viangaliwe. Yaani muda wa mazoezi ya ukakamavu upunguzwe kidogo, kisha jeshi likazane katika kuajiri watu watakaoleta...
Back
Top Bottom