Recent content by fide772002

  1. F

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    Nimekusoma kiongozi ila tupiganie nchi yetu
  2. F

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    Ndugu zangu wana jf issue ya dowans kulipwa imekaaje?Tafadhalini sana kila mmoja wetu aingie msituni kutafuta data.ukweli unabaki palepale kuwa wameshalipwa ndio maana kamati kuu ya ccm imetofautiana na maoni ya wabunge wa ccm wenzao kuwa wawekwe wanasheria watakao chambua mchakato mzima wa kesi...
  3. F

    Kizungumkuti Dowans

    Aminia habari za uhakika toka ndani ya wataalam wetu alio ndani ya Tanesco
  4. F

    Kizungumkuti Dowans

    Habari nilizozipata usiku wa jana ambazo ni za kweli ni kwamba dowans wameshalipwa,kwa ufupi watanzania tumeshapigwa changa la macho.na nyie wadau fuatilieni mpate taarifa zaidi,Ila kwa upande wangu taarifa hizi nimezipata kupitia mtu wa karibu sana na mmoaja ya wakurugenzi ndani ya shirika...
  5. F

    CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

    matokeo mpaka muda huu bado au mmelala usingizi isije kuwa ccm wanaiba kwasababu ndio zao
Back
Top Bottom