Recent content by FIDA

  1. FIDA

    Chagua Joana Digital Printing

    Ok huwa mnafunga SAA ngapi
  2. FIDA

    Hongera TANESCO kwa kuonyesha ustaarabu

    Kweli wamepita na kwetu king'ongo
  3. FIDA

    Ukichagua CHADEMA usilalamike tena, umetaka mwenyewe!

    huku gizaaaaaaaaa tuuuuuuuu
  4. FIDA

    Joana digital printing

    Asante pamoja kaka.
  5. FIDA

    Joana digital printing

    Hellow bado mnatoa huduma kwa bei hizi/ Muda wenu wa kazi ukoje?
  6. FIDA

    Chagua Joana Digital Printing

    Vipeperushi vya A5 ni bei gani? Je una kisu ya kukatia?
  7. FIDA

    Traffic Anapochukua Leseni Yako, Nini cha Kufanya?!

    Unamfaham jina? au umechukua namba ya kazi? Au amekwambia yupo kituo gani?
  8. FIDA

    "Kuku wa Kizungu"

    Ameulizwa mtoa Mazda so wwe
  9. FIDA

    "Kuku wa Kizungu"

    Wapi wanapatikanana -----
  10. FIDA

    Mchumba huyu sasa simuelewi

    Kosa ndio hilo miaka miwili mingi chukua hatua yeye ameshaona kama vile umeoa ongea nae kwanza mweleze hisia zako ila kazi unayo
  11. FIDA

    Jenerali Mwamnyange: Utachafuka tu pindi ukiruhusu upuuzi wa CCM

    wamekosea waliposema asante kwa jenerali,walitakiwa kumpongeza sio kumwambia asante wakati yale ni majukumu yake o
  12. FIDA

    Mdahalo wa Mwl.Nyerere foundation kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Ubungo Plaza

    tuko iringa matangazo ya redio one yamekatika mara tu alipoanza kuongea Jaji Warioba
  13. FIDA

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Mheshimiwa JK kwa mara nyingine amewaacha hoi watanzania kwa kuchagua watu ambao jamii ina sababu za kusema hawafai. Mtu kama Juma Ngamia aliweza kusimama bungeni na kutukana hadharani matusi ya nguoni. Kawambwa Wizara imemshinda tangu zamani. Mwigulu ni mpologomi yaani msema ovyo n.k. Usajili...
  14. FIDA

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    mtamkumbuka mzee Lowasa pale chang'ombe ali mwajibisha mtu sasa sijui apo itakuwa je?.
Back
Top Bottom