Recent content by FichaFicha

  1. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili TRA Kutangazwa Aprili 25, 2025

    Ukisikia paaaa
  2. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania TRA Yatumia Consultant Kusaidia Kuajiri na Sio Utumishi

    Ni mwendo wa kupiga tu hapo!Maana mwanzoni TRA ajira zilikuwa zinatoka Tume ya Ajira baadae wakaomba kusimamia michakato wenyewe sasa hivi Wanawatumia consultant wasimamie mchakato mzima na wanalipa hela ndefu tu hapo ni maswala ya matumizi tu ya hela tutakula wapi
  3. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

    Kuna mkurugenzi Mkuu na Kamishina Mkuu wa TRA?TRA kuna mkurugenzi mkuu au Kamishina Mkuu?
  4. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania What is Psychometric Test na zinafanyika wapi hapa TZ? Radar may be?

    Weka Hela Uliwe
  5. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Human Resource Manager at Keda Ceramics Company Ltd March, 2024

    Hawa wachina mishahara midogo afu manyanyaso ni mengi mno!
  6. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo…

    TTCL pale kilimshinda nini mpaka akapelekwa kuwa RC?
  7. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    TASAC mmeiacha wapi wanatumbua hela mpaka zinabaki
  8. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

    Bado wanawakamua na kwenye miradi yao ya usafirishaji wanawapandishia nauli
  9. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Hata huo Muda Bado wameondoa kabisa
  10. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

    Je Apitude test kuna aliyefanikiwà Link yao inahitaji user name na password
  11. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda bandarini

    Kwahiyo Umeshindwa kujiongeza kwa vitu vidogo vidogo?Sasa unavyokomaa na wewe utakuwa unahusika kwenye Utapeli huu!Acheni utapeli wa kirahisi sana huu tumieni hizo akili kwenye biashara na kilimo mtatoboa!
  12. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda bandarini

    Dah Mwamba yaani Mbona mnatapeli kirahisi sana
  13. FichaFicha

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli aliweza kuwa Rais wa nchi hii basi yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania

    Mwisho wa Kufikiria ndio Umeishia hapo?Yaani bado mnapambana na mfu haaa haaa
Back
Top Bottom