Recent content by Feyanga

  1. Feyanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini waliozaliwa katika familia maskini wana nafasi kubwa na wao kuwa maskini kuliko waliozaliwa katika familia tajiri?

    Nakubaliana na wewe kabisa. Mimi nina ndugu yangu yaani yeye muda wote analalamikia maisha awe na familia au mtu baki. Mfano ukimpigia simu ukamuuliza tu umeamkaje leo, weee ataanzia hapo, unadhani kuna kulala basi, yaani maskini anatoa wapi usingizi, ohh ukiwa maskini unajikuta tu ni asubuhi...
  2. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Mkuu sidhani, labda ndio hiyo kuombwa kutumia ama ujikute tu ushawekwa😃 Kuna harusi moja nilisimamia bana, wee yaani kesho yake picha zimejaa kwenye page ya Mc, nikawauliza maharusi wala halikuwa tatizo kwao kabisaaa na wamelipia huduma vizuri tu. Nilikoma🥲🥲
  3. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    😂😂😂😂 mkuu umenichekesha. Kwa kweli atakuwa kajifunza kwa hilo
  4. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Kwa kweli ipo siku litawakuta jambo…
  5. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Nashukuru sana. Kama kuna makubaliano ni sawa mkuu. Au kama mteja kataka mwenyewe pia sio tatizo. Vipi wale wanaopiga picha kwenye sherehe za watu na wanaziuza kwa nje hivi, kama huna hela picha hupati kabisa. Huwa sielewi kabisa yaani
  6. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Hiyo ni nzuri sana. Kama mtu anatakiwa apate consent yako
  7. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Hiyo sikuona mkuu, na watu wanavyojua kuchambua watu sasa. Pole kwao
  8. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Kuwarusha😂😂😂😂 na siku hizi watu wa makeup wengi wanafanya kazi na wapiga picha. Tena kuna ile Before n after😂😂😂 mara paaaa watu mtandaoni wanakujadili ulivyovadilika ehh🙌🏿🙌🏿
  9. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Shukrani sana. Makubaliano ni muhimu. Pia kutokana hiyo watu kutokujua ama wengine wanapenda hivyo. Ni hakika kuna ambao wanajikuta tu wameshapostiwa na hata kama hataki anakaa tu kimya sababu hajui haki yake ni ipi.
  10. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Hawa haina shida mkuu, kwa wale wanaotaka wenyewe. 😂😂😂 ati Mc awapost
  11. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Asante mkuu, wengi hatujui haya.
  12. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Sawa mkuu, ila sidhani kama ni wote. Wengine watakuwa wanajikuta washapostiwa
  13. Feyanga

    JamiiForums Tanzania MCs, Wapiga Picha, Make-up artists n.k na matumizi ya Picha zetu

    Wakuu, Habari za muda huu? Leo nakuja kwenu na hii mada ama sijui niite tabia ama vipi. Yaani kumekuwa ni kawaida sasa ya makundi haya: Wapiga picha, watu wa make up, ma-MC, mafundi nguo etc. Yaani wao wanakupa huduma na unalipia na bado wataku-post kwenye Mitandao ya Kijamii (Social Media)...
  14. Feyanga

    JamiiForums Tanzania Marlaw arudi kwa kishindo; Sikiliza sauti tamu ya Marlaw kwenye wimbo 'Taa'

    Marlaw ana sauti nzuri sanaaaa huyu kaka uwiii, toka zamani mimi shabiki sanaaa. Marlaw karibu tenaa
  15. Feyanga

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

    Pole dada Ennie, mwenyez Mungu akufanyie wepesi katika hili.
Back
Top Bottom