umaskini wa akili ndio umaskini mbaya zaidi duniani kuliko umaskini wowote ule, kweli tuogope kumfukuza mwizi eti kisa tutadhtakiwa na mnachotakiwa kujua wale jamaa sio watu soft kiasi hiki wanajua wanamakosa ila n mfa maji haishi kutapatapa msijidharau kwa maana hakuna ataewaheshimu kama nyie...
mkuu kama kweli ulikuwa na hii takwimu mbona hukuitoa kabla? hao acacia sio wazembe wakutulia mpaka miezi 2 imepita na wanahisa wanalalamika kwakuwa dili inafifia halafu isitoshe hayo makontena yapo waongozane na tume wakimtaka na mh. prezda maana nae c haba kwenye chemia wakathibitishe...
mkuu unataka nn sasa hapo ukikubali ivyo ujue ataendelea kurudia akijua atasamehewa poga chini anza upya wapo wengi mwengine akizngua piga chini tena mpka umpate atakaeeleweka pumbavu hawa watu.
note: moyo sukuma damu c vingine.
unataka mwizi alieihujumu nchi kwa miaka kadhaa apewe haki? haki ipi? ww utamtendea vipi mwanamke aliyekudanganya miaka kadhaa kwa kukupa ulee mtoto ambaye sio wako na ww ukampa haki zote kama mtoto wako, utampa haki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.