Jamani habari zenu naombeni msaada kuhusu tatizo la ngozi (anajikuna Sana yanakua Kama mapunye then Kama Malibu meusi ya Moto) ambalo limedumu kwa zaidi ya miezi nane hospital mtu huyu kapima HIV zaidi ya Mara tano na inasoma negative akaambiwa Ni cells tu zinaleta reaction akapewa dermovate...
Habari zenu jaman mwenzenu Nina ngozi sensitive lakin chunusi zinazowasha na makovu meusi yameharibu uso wangu naombeni msaada nitumie nini ambacho sio kikali kwa ngozi yangu maana pia hutokewa na mabaka meupe Kama utangotango nmetumia dawa nyingi lakini bado
Less than a month pregnancy miscarried nkaenda Hosp wakanpga ultrasound wakaona imetoka ,wakasema hawawez kunipa sawa kwasab hakuna infection nkarud nyumban nimeblid cku zaid ya 25 nkakaa cku 5 tu nkaanza tena nkaenda hospital ikawa same thing wakasema huenda ni Normal period lakin ilikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.