Recent content by feswane

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kikurya apokonya majambazi matatu bunduki aina ya SMG

    Nilikuwa na mwanamke wangu wa Kikurya siku moja kaenda kumpokea ndgugu yake Ubungo saa tano usiku. Pale darajani vibaka wakapora laptop, Alimng'ang'ania mmoja mpaka kituo cha polisi despite kipigo alichokuwa anapata. Tumeshindwana kwa ajili ya utemi wake.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupiga nyoka tank la mafuta

    Hawa huwa wanafungua koki kwani mara nyingi mafuta yanakuwa yameshashushwa na magari yanakuwa yanaenda kupakia mzigo mwingine. Asikuongopee mtu hawathubutu kugusa gari iliyobeba mzigo.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Nguvu huna, hata mkwara?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa tiGo afariki dunia baada ya kunywa mizinga mitano ya konyagi wakati akishindana kunywa

    Polen sana wafiwa. Na ni onyo kwa wengine tusipende kuiga mambo ya kijinga tunamrahisishia kazi Israel
Back
Top Bottom