Jinsi ya kupiga nyoka tank la mafuta

Jinsi ya kupiga nyoka tank la mafuta

Exorcist

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
1,243
Reaction score
1,279
Wiki iliyopita nilimuona huyu mshukaji aki kinga wese kutoka kwenye lori la mafuta, utingo na dereva walikuwa wanamuona kwenye side mirror ila waliamua kumuacha. Sasa hawa jamaa wanawezaje kufungua haya mafuta wakati huwa yana pigwa seal ya nguvu kiasi huwezi kabisa kuchukua mafuta bila kugundulika..
Tanker.jpg
 
Unatala nawe ukapige nyoka?
 
Hawa huwa wanafungua koki kwani mara nyingi mafuta yanakuwa yameshashushwa na magari yanakuwa yanaenda kupakia mzigo mwingine. Asikuongopee mtu hawathubutu kugusa gari iliyobeba mzigo.
 
Back
Top Bottom