Recent content by Festus vicent

  1. F

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu madishi ya FTA

    jamii forum idumu daima imenitangaza sana through jamii forum igot a chance to perform instollation services in uganda also igot alarge number of customers within my country Tz ,kazi iliyo bola itatung'arisha wadau tunao husika na instollation service.One love to you all
  2. F

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu madishi ya FTA

    Kwa anae taka msaada wa kimawazo juu ya ufungaji wa madish nipo tayari kukupa elimu pia kama unahitaji huduma ya kufungiwa dishi la aina yoyote kulingana na mahitaji yako basi napatikana haswa kwa walio kanda ya ziwa mwanza,shytown msoma bukoba na nzega pia
  3. F

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu madishi ya FTA

    Hapo ni simpo sana geuza dish lako lione magalibi basi hapo waweza kutegesha Amos5@17e au ses 5 kama unapenda fta za nje pia eutelsat@7e kuna chanels za bule ila receiver itabadilika tafuta Wiztech8010hd hapo ful makamuz
  4. F

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha contineto cha settelite

    Nimefulaishwa na maelezo mazuri sana ya kiufundi ambayo yametolewa basi kama waitaji msaada wakiufundi pia ushauli wadau tupo nafunga setilite zaidi ya 20 ni mkongwe kwenye hii game
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Hapo ndugu jaribu kucheza na lnb zichezeshe kidogo au pia waweza kuinua kidogo jeki ili signal ikuwe
  6. F

    JamiiForums Tanzania walimu mtakomaa mwakaa huu!

    Hiyo kitu haikubaliki hata kidogo watumie ustalabu tu mwalimu wamuhulumie jamani
  7. F

    JamiiForums Tanzania itv,capital tv na eatv

    Naona kama watakuwa na technical problem alafu wao hawaja tambua sijui wana angalia ving'amuzi tu mmh! Majanga
  8. F

    JamiiForums Tanzania itv,capital tv na eatv

    Hata kwenye futi nane jana na leo itv,capital na eatv hatuwa pati huku mtukura mpakani mwa ug na tz twapata star,ch10 na tv za mozambique
  9. F

    JamiiForums Tanzania M23 warudi nyuma, Rwanda yapeleka Jeshi mpakani, Rais Mseveni aitisha kikao cha dharura Kampala!

    Nazani haijui Tanzania vizuri akizisha ukolofi tupeleke mashi laki mbili tunaifuta kabisa rwanda kwenye ramani ya afrika vijana tupo tayari kuvaa magwanda kutetea taifa letu
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Jamani leo itv na capital hazipatikani kwenye setilite dish sijui kuna tatizo gani?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    Jani leo itv,capital na eatv hazipatikani kwenye dish sijui kuna tatizo gani?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Msaada! Wataalam wa Setilite dishes

    Kuna option nyengine pia cheki na mafundi wa mkoa wako lazima wanajua chocho zote za mji wako unaweza kuchongesha dish au uka chukua jipya shop niwewe tu
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Kaka naitamani hiyo badr@26e hivi dish lina ona maghalibi au masharik?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Lnb iliyokua na k24, kbc, family tv

    Usikate tamaa bro hapo kwenye nss12@57e unaweza ukafunga c-band na ukapata tv kama voa,telechad na nyingineze kwenye dish dogo tu la ft6
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Hata mimi hiyo frequency imegoma lakini tv zengine zote napata kaso tbc na star
Back
Top Bottom