Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.
Angalau nimefarijika kusikia bado una ubinadamu ndani yako
kama hautaweza kuhubiri ukweli juu ya uwepo batili wa Mungu, mbingu, shetani na uchawi basi ni bora uachane kabisa na maswala ya dini na mahubiri
Tafuta chanzo kingine cha pesa ambacho kitakidhi mahitaji yako na ada ya kijana wetu he...
Ni kweli wewe ni mtu muovu, una sifa mbaya kwenye jamii yaani haufai kabisa
Wewe ni selfish sana unajali tumbo lako na huyo mtoto wako tu, lakini haujali watu wengine kabisa
umefanikiwa kutoka katika kifungo/jela ya imani ambayo inawapotezea muda watu wengi, kuwarudisha nyuma kiichumi na...
Nashukuru sana mkuu, itabidi niongeze pesa nichukue 12 pm nilivutiwa nayo, japo kwa usawa wa uchumi inakua inavuruga bajeti nyingine.
Hivi kwanini ulinipa option ya XR insted of Xs max? XR iko vizuri sana mkuu?
Nina laki 7 na nusu, niliona mijadala 11 Pm haina display kali kama xs max, wanasema 11 kamshinda xs max kwenye camera tu
mm napendelea simu iwe kubwa 6.5+ screen size, display na camera kali
au niongeze ngapi kwenye bajeti yangu nichukue 12 pro max used?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.