Wanajamii,
Ni vyema kutambua kuwa ngozi nyeusi ina matatizo kuliko ngozi yoyote duniani.Afrika ndio bara lenye vikundi vingi vya waasi,ndio bara lenye migogoro mingi,ndio bara ambalo kila matokeo ya uchaguzi hupingwa nakadhalika. CCM ina bahati ilizaliwa kipindi kilichohitaji muungano wa wote...
It is always nice to visit Jamii Forums and once in a while finding posts that use statisitics,references,common sense and most important the technical know how of exactly what one is posting about.Even though I am might be inclined towards the FirstLady views like many others who are not well...
Ukitafakari utaona ukweli wa hiyo statement ya huyo bwana.Tatizo sio mawaziri wala serikali,tatizo ni wananchi wanaokubali maazimio na hatua zinazochukuliwa na viongozi wetu.Pamoja na PM kuacha kuwajibisha mawaziri,wewe na mimi tunaendelea na maisha yetu ya kawaida na nina hakika baada ya wiki...
Hivi ni kwanini serikali za nchi jirani especially Rwanda ziko makini sana kwenye viwango vya ubora wa bidhaa wakati sisi ambao ni port of discharge ndio legelege kwenye kuregulate hili??Sidhani kama wale samaki wa Japan wangevuka mpaka kuingia Rwanda hata ile lami ya Kurasini ingeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.