Recent content by Fernando02

  1. F

    Wafanyakazi NSSF tumejiroga wenyewe

    Mambo yamekuwa magumu.. sema Awamu ya 5 imeamua kuwabana haswa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. F

    Msaada wa wataalamu wa NSSF mafao

    Kila kitu sikuhizi ni sheria , mm nimepoteza ajira na nalipwa kila mwezi na NSSF ikifika tarehe 26 nalipwa.. sheria ipo wazi.. Kama ww ulipoteza ajira au mkataba uliisha kama ni Kibarua huna Professional unaluowa lumpusm yako fresh tu.. kama una Professional unalipwa 33.3% ya mshahara wako wa...
  3. F

    Wafanyakazi NSSF tumejiroga wenyewe

    Sidhan hata unafatilia habari zao.. mm nimeona juzi wamefungua nyumba za kule Kijichi wamewapa wanafunzi wa vyuo. Sio mbaya sana.. anajitahidi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. F

    Uhujumu NSSF

    Sishangai andiko lako[emoji1787][emoji1787] unahitaji counselling ya kisasa kabisa, You sound low minded. Nenda ujue kufanya reasoning ya comments zako. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. F

    Uhujumu NSSF

    Ni kweli kabisa sema kama mwaka sasa mambo yamebadilika sana , kuna ofisi yao nilienda huduma zimekuwa imara sana hakuna majivuno tena kjna kaheshima flan hivi.. hakika Magufuli kapatia sana kumueka jamaa pale, nimependa uwazi kuhusu ulipaji wa vitu, mwendo ni kielektroniki.. kiukweli we are so...
  6. F

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Hahaha sasa naelewa vizuri wakuu walivosema huu uzi ni Personal attack, jamaa umepanick kabisa. Acheni kupumbuzana watu humu JF kwa sababu ya Personal issues zenu au kwa maslah yenu. Achen watu wasafishe Kazi.. siku hizi Transparency ni ya hali ya juu mno. VIVA ERIO VIVA NSSF Sent using Jamii...
  7. F

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    [emoji23][emoji23][emoji23] sure kabisaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. F

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Issue sio kumpenda ww, issue ni utendaji wake, ingekua issue ni kubebwa asingedumu miaka yote kwenye haya mashirika. Kwenye ukweli tuseme ukweli tu. Tujifunze ku appreciate na kubadilika. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. F

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Yani we jamaa kilaza kweli maana unaonekana ni mmoja wa waliokaziwa ulaji [emoji23] maana mawazo yako yamekaa ka una ishu personal sana acha uzuzu arifeee. Sasa jamaa amenyanyasa au amewakazia walaji, Tanzania ya sasa hivi haitaki watu aina yenu wanaotaka slope. Mwacheni Jamaa anyooshe Shirika...
  10. F

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Nimewafuatilia sana Wadau kwenye changizo zenu lakini bado nashindwa kuelewa hapa lengo lenu ni kumu attack mtu, kuusaidia Mfuko mkongwe kabisa wa NSSF unaotunza michango yetu ama lengo lenu ni nini hasa maana ninavyofahamu mimi hapa ni uwanja wa kutoa mawazo yenye tija na sio vijembe, majungu...
Back
Top Bottom