Wasikudanganye. Jitahidi zifikie sita mpaka nane. Hao wanaokukataza hawalipi kodi hata shilingi moja. Wewe unaponunua soda kuna pesa nyingi unalipa in form of tax. Watoto wanatibiwa , barabara zimewekwa lami, madawa hospitalaini yanamwagwa. Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa!!
Wewe ni mzalendo halisi. Kila pepsi moja unayokunywa unachangia pesa nyingi katika mfuko wa taifa. Watoto wetu wanatibiwa. Barabara zinajengwa. Ukinywa sita itakuwa bora zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.