Recent content by fensi

  1. F

    Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Kwani wadau kupiga vita madawa ya kulevya kunahitaji vyeti. Kaka songa mbele usirudi nyuma
  2. F

    Mwanaume Hanithi anayehitaji mke

    Ingia JF uyaone
  3. F

    Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Sipingi jitihada za Mh. Makonda ila Sioni sababu ya baadhi ya wana JF kuanza kurusha maneno kwa waliotajwa. Hiyo ni List tu ya majina. Haina uthibitisho
  4. F

    CHADEMA yatoa tamko baada ya Mbowe kutajwa katika listi ya Makonda

    Hapo ndo pagumu. Maana tulikua tunafuatilia INSTAGRAM live Na MILLAD AYO. Makonda alitaja kabisa Haikaeli Mbowe Mbunge wa Hai Lakini List iko tofauti. Au ni jina jingine la Mh. Mbowe
  5. F

    James Delicious amlilia Mungu. Adai hana raha ya maisha kufuatia agizo la waziri

    Sodoma na Gomora ilitiwa kiberiti kwa dhambi hii
  6. F

    James Delicious amlilia Mungu. Adai hana raha ya maisha kufuatia agizo la waziri

    Nakuhakikishia kuwa BILA KUONDOA HII LAANA HATA HAYO MAENDELEO SAHAU. KOSA SHULE LAKINI USHOGA USIWEPO. KWA SABABU KAMA HAUTAONDOLEWA USHOGA, SOMETIMES SHULE ITAKUA CHANZO KIKUBWA CHA WATOTO WETU KUJIFUNZA USHOGA KUTOKA KWA MARAFIKI. INAUMIZA SANA JAMANI
  7. F

    James Delicious amlilia Mungu. Adai hana raha ya maisha kufuatia agizo la waziri

    Hayo unayosema hayafanyiwi kazi ni yako. Waza leo hii mtt wako wa kiume (siombei hivyo) unamgundua ni shoga. Sasa utajiuliza huo ushoga kajifunzia wapi? Jibu ni kwamba uwepo wa hawa watu ni mchango mkubwa. Unasema hujawaona zaidi ya kwenye mitandao na tv. Kaka tembea uone. Naiunga mkono kauli...
  8. F

    James Delicious amlilia Mungu. Adai hana raha ya maisha kufuatia agizo la waziri

    Hawa wanajitangaza mtandaoni. Na kuwaona mtandaoni haijalishi wewe ni mdau wa mambo hayo au cyo.
  9. F

    James Delicious amlilia Mungu. Adai hana raha ya maisha kufuatia agizo la waziri

    Ila acha akamatwe kwanza kiini kitajulikana tu. Watoke tu mtaani.
  10. F

    James Delicious amlilia Mungu. Adai hana raha ya maisha kufuatia agizo la waziri

    Huyu hana aibu. Huko ndo kunamhusu. Kwahiyo raha ya maisha anayoidai anaikosa ni kugongwa. Akamatwe, apelekwe akanyee debe
  11. F

    AJALI: Watu kadhaa wafariki wakitokea Rombo kwenye Miaka 40 ya CCM

    Watu saba wamefariki dunia baada ya gari waliokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka katika eneo la Mwika Mawanjeni Maarufu kama Bar mpya mkoani Kilimanjaro akiwamo mwandishi mmoja wa Gazeti la Habari leo Bw.Anold Swai na mwenyekiti wa UVCCM Hai.Endelea kufuatilia taarifa zetu za Habari...
  12. F

    Hivi Rais Magufuli hana walinzi wa kike wa Kudeal na Wanawake?

    Tumia akili yako wewe. Kwani mtu huwa akitaka kufanya tukio baya huwa anaonyesha silaha. Hilo ni sahihi kabisa. Kama alikua ana lengo baya akamdhuru rais unadhani walinzi wangefanywa nn. Huyo anatimiza majukumu
  13. F

    NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

    Nitumie ya MKUU SECONDARY. YOOOTE
Back
Top Bottom