hivi nchi watu mtakuwa maubongo pooza mpaka lini?
maubongo pooza ni watu ambao huwa hawakubali facts wanaenda na assumption tuu
Huyo aliyeleta post hiyo ni kwa sababu kulikuwa na uvumi kwamba Askofu Kakobe anakaa nyumba ya gharama Leo tumejua ukweli kwamba nyumba yake ni ya kawaida saaaaaaaana...
yaani uAskofu wa Askofu Kakobe kweli unajionyesha kwa idadi kubwa ya hayo makanisa yake sisi tunampongeza
kwa kazi yake nzuri Hongera Askofu kakobe kwa kanisa lako kufikisha miaka 25...
asilimia 99% ya watanzania ni watu WAOGA ndio maana serikali inawatafuta watu majasiri ambao ni hiyo asilimia Moja 1%,iliyobaki ya watu kama Askofu Kakobe,Dr Slaa,Mbowe n.k na hii asilimia Moja ni ya watu wenye uchungu na wenzao ambao bado wapo kwenye kifungo cha Uoga, tuunge mkono juhudi za...
viongozi wa ccm wanawadharau watumishi wa
MUNGU kama Askofu Kakobe kwa sababu anawakemea maovu yao ya kuwatesa wananchi kwa ufisadi wao ;naomba hayo yote aliyoyasema MUNGU kupitia Askofu Kakobe juu ya serial I ya ccm isiyojali wananchi yatimie ili na wao waone machungu ya tunayoyapata ya...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.